Napenda Padlock za wanawake

Napenda Padlock za wanawake

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Yaani inatokea tu kuzipenda.Nikiziona Hata madukani nafarijika moyoni.Hata wife akawa vibaya nikaona pichu me nadata.Zinaficha kile kitu adimu kabisa na kitamu sometimes kichungu ukiingia kichwa kichwa.

Nyie wanawake mnapoona mapadlock yetu hampati hisia fulani?

Njoo ununue mi naziuza zile za kisistadu na viboksa
Unatandika kwenye makochi yako ukikaa unaziona
chumbani pia unaweka!
Nitakuuzia kwa bei ya kutupa!!
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa

Umenichekesha Sana.
 
Kama wapenda, itabidi uitumie kama kitambaa cha kufutia jasho ili walimwengu wajue kama unazipenda

Ngoja Nikamwibie Wife Mana Iliyotumika Itakua Poa Sana
 
Njoo ununue mi naziuza zile za kisistadu na viboksa
Unatandika kwenye makochi yako ukikaa unaziona
chumbani pia unaweka!
Nitakuuzia kwa bei ya kutupa!!
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa

Nielekeze dual lilipo
 
Inaonekana unazipenda kuliko mkeo,kwanini uliingia gharama kulipia mahari wakati ungeenda dukani ukanunua dazeni moja zingekupa faraja sana nyumbani,kwenye gari,ofisini na ikibidi uwe unatembea nayo mfukoni!
 
Njoo ununue mi naziuza zile za kisistadu na viboksa
Unatandika kwenye makochi yako ukikaa unaziona
chumbani pia unaweka!
Nitakuuzia kwa bei ya kutupa!!
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa
Teh teh..atandike sebuleni kama vitambaa
 
Inaonekana unazipenda kuliko mkeo,kwanini uliingia gharama kulipia mahari wakati ungeenda dukani ukanunua dazeni moja zingekupa faraja sana nyumbani,kwenye gari,ofisini na ikibidi uwe unatembea nayo mfukoni!

Ni Sawa Ila Padlock Zinaniua Mie
 
Njoo ununue mi naziuza zile za kisistadu na viboksa
Unatandika kwenye makochi yako ukikaa unaziona
chumbani pia unaweka!
Nitakuuzia kwa bei ya kutupa!!
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa

mamaa.... mbavu zangu....
 
Si uvae Hili ukiwa unajichungulia unafarijika laha jipe mwenyew
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom