Napenda mwanaume mwenye gari

Yani hako ka njemba kwenye picha kalivyo waunga tela usishange kakiwa kakubwa kuwapanga hivyo hivyo[emoji4]hii picha inamaana kubwa sana katika ulimwengu wa roho: ni maandalizi ya maisha ya baadae
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…jamani ushaona mbali mkuu
 
Mimi nadhani sasa hivi wabadilike, wampende mwenye nyumba tena nyumba nzuri...

Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
 
Hako katoto ka nyuma kabisa katakuja kusumbua sana ukubwani kutokana na uzuri wake
Na wewe ushamwelewa tangu utoto wake, mweeeeπŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani hako ka njemba kwenye picha kalivyo waunga tela usishange kakiwa kakubwa kuwapanga hivyo hivyo[emoji4]hii picha inamaana kubwa sana katika ulimwengu wa roho: ni maandalizi ya maisha ya baadae
Umeona eee
Amina kubwaaaaπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Aisee, hongera sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…