hellow jamaa niko Serious very serious...!
napenda nikutane na Mwanamke Mnene kwelii (bonge,tufe) mweusi ninapenda sana mwanmke wa Namna Hiyooo!!
please please!
nina Miaka 25
mrefu mweusi
elimu shahada Ya Kwanza
Duh! Yani wewe unatafuta tenga la nyanya sokoni? Mbona wapo wengi sana watu wa type hiyo? Ukiwakosa Dar, karibu Mbeya. Kila baada ya mita tano utakutana nao... Labda kama huoni vizuri...