Napenda kuuliza hii awamu ya pili

Napenda kuuliza hii awamu ya pili

Joined
Jul 2, 2015
Posts
18
Reaction score
6
Je awamu ya pili ya wanafunzi wa kidato cha tano watakaochaguliwa kwenda kusoma watachaguliwa wote kama walivyoowaorodhesha??

Kama wote ni muda gan watawapanga hawa awamu ya pili???
 
Ndalichako atajibu swali lako, kuwa nasubira
 
Ndiyo maana yake isingekuwa hivyo wasingeweka majina yao au head ya taarifa,hyo isingekuwa vile imeandikwa.sema ishu ipo kweny kufahamu kwamb hao watu watachaguliwa katika mchepuo upi na watapangiwa wakati gan na kuripot itakuwa wakat gan? Hapo ndo wizara husika wanafahamu wenyew.
 
Watapangiwa kutokana na nafasi zitakazokuepo huko shuleni so inategemea na watakaoripoti kwa waliochaguliwa first selection.
 
Back
Top Bottom