Pole zangu ziwafikie wale mademu waliahidiwa kuwa mwaka huu wataolewa,nataka kuwakumbusha tu kuwa mwaka unafikia ukingoni!pia salamu zangu ziwafikie nyie mademu mliolazimisha kuvalishwa pete km sharti la kuliwa uroda,uroda umeliwa na pete yako ya kichina umebaki nayo!Pole na salamu zangu pia ziwafikie vijana waliopata kazi benki na kukimbilia kukopa gari kwa bei za kutupa ili mademu mtaani wakukome,xaxa mmekuwa wezi kwny account za watu ili mpate hela za kuweka mafuta!Pole zangu ziwafikie vijana wenzangu walikuwa wakiwadanganya mademu zao chuo 'Baby nikimaliza tu hpa,nakutana na mshahara wa laki saba nakuja kwenu kujitambulisha!poleni sana dada zangu kazi hakuna na ulitumika vya kutosha!