Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,683
akitema mate baada ya kukojoa wakati mkojo kakojoa yeye
akitema mate baada ya kukojoa wakati mkojo kakojoa yeye
Akikimbia mvua wakati alikuwa anaogelea
hahahahahahaha habari yako mkuu nitonye
hahahaha umegusa watu.
kongosho ndio nimeiona avator yako mpya.Akikimbia mvua wakati alikuwa anaogelea
au peni wakati kaiweka kichwani..napenda kuona mtu akitafuta ndala ya mguu mmoja wakati ameibania kwenye makwapa!!
kongosho ndio nimeiona avator yako mpya.
[h=6]1. Aking'arisha viatu wakati anaenda kupiga passport size( picha),
2. Kakaa kiti cha mbele... karibu na dereva halafu anamwambia konda shusha,
3. mtu akimwamsha mgonjwa ili ampe dawa ya usingizi,
4.Mtu akipigiwa simu halafu anaangalia balance yake
5. Mtu akitafuta remote ya TV for ten minutes wakat TV ipo karibu yako,
6. Mtu akipunguza sauti ya radio ili usome sms[/h]....SI....