Napenda kujua jambo hili kuhusu Taifa staz

Napenda kujua jambo hili kuhusu Taifa staz

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Mambo vipi wana michezo wenzangu, mwenzenu kuna kitu sielewi ktk tim yetu ya Taifa. Kama tunavyojua hivi sasa tuna kabiliwa na michuano ya kutafuta kufuzu kwenye michuano ya kombe la Dunia hatua ya mzunguko wa pili. Najua mpaka sasa tunashika nafasi ya pili ktk kundi letu kwakujikusanyia point 6 ktk michezo mitatu tulio cheza. Nisicho elewa mimi hapa ni hichi! Nihatua gani itafua baada ya timu yetu kuongoza kundi? (kushika nafasi ya kwanza kwenye kundi letu) ukizingatia kuna makundi kumi (10) ktk mchakato huu wa kugombea kwenda Brazil na nitimu nne (4)tu kama sikosei zitakazo fuzu kwa upande wa Africa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa staz. Ijumaa tuqufu.
 
ngoja watiririke wengine naja sasa hivi
 
Yapo makundi 10 na kila timu itakayokuwa ya 1 ndo ita-advance kusonga mbele katika hatua ya mwisho. Hatua ya mwisho zita kuwa timu 10 na zitapangwa katika makundi 5 ambazo kila timu itacheza mechi ya home and away, itakayoshinda katika kila kundi ndo itashishiki kombe la dunia kwa kanda ya Afrika yaani timu 5.
 
Mkuu, nashukuru kwaufafanuzi.
 
Back
Top Bottom