Napenda kujifunza mobile maintenance na kuflash simu

de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
737
Reaction score
760
Habari za jioni wataalamu katika hili jukwaa

Napenda kujifunza mambo ya Teknolojia kila siku,pia napenda kufahamu na kujifunza mobile maintanance ,ku frash simu na moderm.

Je, naweza pata website au video tuitorials site inazofundisha Teknolojia hizo?

Sina kiasi cha kutosha kumwambia mtaalamu anifundishe from scratch but kupitia mtandaoni nahisi itapendeza zaidi.

Maoni yenu na msaada katika hili,kwenu wataalamu.
 
Anza kujenga mahusiano yako na Google hatakuangusha.

Sent from my cupboard using mug
 
Mimi najua google iliponitoa hasa nilipoanza kutumia operamini kwenye kasimu ka batani Motorola Slvr L7 mwaka 2007 mpaka sasa hivi namwenzi Operamini na Google

Sent from my cupboard using mug
 
Habari za jioni wataalamu katika hili jukwaa

Napenda kujifunza mambo ya Teknolojia kila siku,pia napenda kufahamu na kujifunza mobile maintanance ,ku frash simu na moderm.

Je, naweza pata website au video tuitorials site inazofundisha Teknolojia hizo?

Sina kiasi cha kutosha kumwambia mtaalamu anifundishe from scratch but kupitia mtandaoni nahisi itapendeza zaidi.

Maoni yenu na msaada katika hili,kwenu wataalamu.
Umesoma vitu gani? Kama science nikutumie kitabu kimoja kipo konki kwenye maintainace, huko mpaka X-RAY machine imeelezwa.Kama sio sayansi background inabidi uanzie nyuma kidogo.Kuna mtu anafundisha you tube kwa kiswahili ispokuwa kamera yake ina quality ya chini sana.
 
Habari za jioni wataalamu katika hili jukwaa

Napenda kujifunza mambo ya Teknolojia kila siku,pia napenda kufahamu na kujifunza mobile maintanance ,ku frash simu na moderm.

Je, naweza pata website au video tuitorials site inazofundisha Teknolojia hizo?

Sina kiasi cha kutosha kumwambia mtaalamu anifundishe from scratch but kupitia mtandaoni nahisi itapendeza zaidi.

Maoni yenu na msaada katika hili,kwenu wataalamu.
Huyu Youtube unamjua au unamsikia tu? Huyu kila elimu utapata mahitaji ni bundle tu. Elimu anayotoa huko ni ya kidunia. Hata ukitaka mafunzo ya kurusha ndege kama Bombardier utapata. Tatizo hatoi cheti tu. Shule njema....
 
Ah mkuu yu tube naipata vizuri kabisa, sema napenda kujua kutoka wakuu wa humu.
Mana yu tube kuna seheemu tuitorial kibao hawaelezei deep na pengine hawako 100% right kama navyotegemea kiongozi.

Practical experience, jitolee kukaa na watengeneza simu uone tiba wanazotoa kwa aina tofauti tofauti za simu. Ndani ya wiki tu unaiva vizuri.
 
Huwez kurupuka kiongozi, lazima ka connection kafanyike kidogo
 
Yeah, unaogopa kuongea kwani. Tafuta mtu aliye tayari kukufundisha na umtoe kidogo
 
Back
Top Bottom