Napenda kuishauri Serikali kuwakutanisha wafanyabiashara mara kwa mara

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
hello JF,

Leo ningependa kuishauri Serikali ifanye ku-facilitate a meeting place At least once per 3 months.

Itakuwa inahusu kuwakutanisha wafanyabiashara kutangaza kazi zao na wanunuaji wa hizo bidhaa kukutanishwa.

Pia kujifunza biashara kutoka kwa watu experienced. Wengine, ni waajiri wanakutanishwa na wanaotafuta kazi hata zile temporary...

Serikali pia ingetuma researchers,ku-explore what is needed outhere iwe feedback kwenye kudesign syllabus za vyuoni...

Nimeona hili likifanya na wajasiriamali sector binafsi ila ningependa pia Serikali ichukue upper hand since inaweza kuwafikia audience kubwa zaidi,since ina resources na inaweza kuwafikia watu wengi zaidi wakanufaika...
 
Umezingua aise, ungeitofautisha kimuundo na zile sherehe za wakulima, 8-8 na maonyesho ya kibiashara yaliyopo kwa sasa.
 
Umezingua aise, ungeitofautisha kimuundo na zile sherehe za wakulima, 8-8 na maonyesho ya kibiashara yaliyopo kwa sasa.

Mkuu yale mara nyingi yanafanyika once per year,na sio mara mbili au tatu in a year,kuna uhitaji for example sehemu itakayokutanisha wanaotafuta kazi na waajiri,kitu ambacho kina miss kwenye maonyesho,anyway nimetoka Tanzania miaka mingi sijui hali ya sasa ikoje
 
A trade fair (trade show, trade exhibition, trade exposition, or expo) is an exhibition organized so that companies in a specific industry can showcase and demonstrate their latest products and services, meet with industry partners and customers, study activities of rivals, and examine recent market trends and opportunities.
 
Back
Top Bottom