inategemea.wengine huwa na homons za kiume nyingi na hawa hawawezi kufurahia mapenzi ya wanaume.ila kuna wengine huwa wanapenda tu maisha ya kihivyo.hawa wanasikia raha kama kawaida labda ashindwe kidume
Ulishawahi kumtokea?
hapana mkuu! anyway sikuwahi kumfeel kama ni manzi, kichaa alikuwa anapiga ugoro laiv samtaimu, halaf anachimba mkwala watu wampigie donation ya msosi. hili jimama lilikuwaga la ajabu sana.
mkuu baada ya maskendo yote niliyokupa bado unampigia mahesabu ya kuwa nae ndani ya nyumba? hehehe hapo class jamaa walifanya ka pati ka dogo baada ya hilo jimama kutimuliwa (lilimtemea mate mwalim). yule mama akiolewa mimi nitakuwa wa kwanza kukata rufaa. kwaufupi HAFAI.Duh ukiwanae ndani ya nyumba wakati wa majambozi si miguno itafanana, hasa nyumba zetu za kupanga majirani watatoa mijicho mbaya
mkuu baada ya maskendo yote niliyokupa bado unampigia mahesabu ya kuwa nae ndani ya nyumba? hehehe hapo class jamaa walifanya ka pati ka dogo baada ya hilo jimama kutimuliwa (lilimtemea mate mwalim). yule mama akiolewa mimi nitakuwa wa kwanza kukata rufaa. kwaufupi HAFAI.
Mimi ni mmojawao najifeel kama mwanamme kabisa.