Napenda kueleweshwa juu ya mbegu za matikiti

Horseman

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
447
392
Shalom wakuu.

Naomba kuuliza juu ya mbegu za matikiti. Nimeelezwa kwa ufupi sana juu ya mbegu inayoitwa "Mwananchi". Nimeambiwa inakubali sana maeneo ya mto Ruvu.

Naomba nipewe darasa juu ya mbegu hii, je inatokaje ndani ya heka moja? Inauzwaje? Kwa heka moja inatosha kiasi gani?

Vile vile ni mbegu gani nyingine inayofaa sana maeneo ya Ruvu kwa tunda la tikiti.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Mkuu pole toka Jana mpaka sasa hakuna hata mchangjaji, labda ungeandika kuhusu majipu, Ali kiba au diamond. Jamani wataalamu njooni mtusaidie huku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom