Napenda chadema

Napenda chadema

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
393
Reaction score
103
Dah...! Natumia fursa hii kusema kwa sauti kubwa mchana huu kuwa napenda chama changu IMARA CHADEMA...!



Kwa wapenda madiliko hawatajuta ku support CHADEMA..........

hate t o lv t.......

nawakilisha
 
Hongera!!!. Kwa hakika umechagua vema. Utavuna sawa 2015.
 
Dah...! Natumia fursa hii kusema kwa sauti kubwa mchana huu kuwa napenda chama changu IMARA CHADEMA...!



Kwa wapenda madiliko hawatajuta ku support CHADEMA..........

hate t o lv t.......

nawakilisha
Mkuu hujakosea na wala haya matatizo unayoyaona hutajuta kwasababu hukuharibu kura yako kwani ni makosa makubwa kulaumu hali mbaya ya maisha wakati uliwapa kura sisi ndio tunatakiwa kulaumu hali mbaya kwasababu hatukuwapa hao magamba kwi! kwi! kwi! kwi!
 
pamaoja sana peoplessssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
mkuu nipo nyuma yako, ila usigeuke nyuma kunitizam!
 
kama kweli wewe ni mpenda maendeleo lazima ulipende hili chama kubwa la Mabadiliko. pamoja nawe daima CHADEMA
 
Pamoja sana tunatakiwa kuelimisha vijana,kwa ajili maendeleo ya baadaye M4C DAIMA.
 
Back
Top Bottom