kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
Sio kirahisi hivyo.Habari wadau wa jf
Nataka kuanzisha biashara ya mtaji usiozidi laki tano lakini nahitaji zile biashara za kwenda sehemu(zinakopatikana kwa wingi na nafuu) kujumua mzigo kisha kuuza kwa jumla yani ile To and Flo unafunga mahesabu yako fasta sio zile za kukaa kusubiri wateja km duka,genge n.k
Nadhani nimeeleweka wadau naombeni Idea zenu za biashara za namna hiyo tafadhali ikiwezeka elezea zinakopatikana na masoko yake na namna ya kupata soko kwa mimi ninaeanza
Asanteni
Aaanh mkuu mimi nipo kigamboni nilisahau kujieleza hivyoSijui ulipo. Ila kwanza ufanye utafiti wa kujua wafanya biashara wadogo ulipo wanapata wapi mzigo na kwa bei gani ili uone utawasupply kwa bei gani na huo mzigo unapatikana wapi.
Unataka tukufanyie kazi yote hiyo wewe hata kusema uko wapi ?
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Nimeipenda idea ykoSijui ulipo. Ila kwanza ufanye utafiti wa kujua wafanya biashara wadogo ulipo wanapata wapi mzigo na kwa bei gani ili uone utawasupply kwa bei gani na huo mzigo unapatikana wapi.
Unataka tukufanyie kazi yote hiyo wewe hata kusema uko wapi ?
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Zipo, ila sio nyingi.hakuna biashara ambayo muuzaji hangojei wateja.