Hapa Jk anajaribu kucheza na akili za watu espacial Vijana na Wapinga ufisadi waliopo ndani ya Chama na nje ya Chama.Kitendo cha kumpendekeza Nape aingie kwenye Sekretarieti,ni kuangaria upepo wa Siasa unaendaje na Mustakabari wa chama mbeleni.Hataki na hapendi kuona Jumba bovu likimdondokea na lawama zikamvaa yeye kama ndiyo sababu.Jivue gamba,ila Nyoka ni yule yule na sumu iko paleplae,ila kama EL na RA hawataondolewa kwenye Vikao vya juu vya maamuzi vya Ccm,dogo Nape atakuwa kwenye Hali ngumu sana katika utendaji wake wa kazi