Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?


  • Total voters
    229
  • Poll closed .
Nape wa sasa ni km mbwa koko anabweka sana lakini hang'ati, aliaza kubweka kwa nguvu vuwa gamba mwisho wa siku aliumbuka mwenyewe, sasa nina wasiwasi na kauli zake za mara kwa mara kama zina baraka kwa chama chake
 


Aliomba kuhamia CHADEMA kwa masharti eti asimame ubungo? Hawa Ngumbi amekushinda JJ utamuweza?
ha ha ha ha haaaa pole sana Nepi!
 
Hata kama Nape angegombea na Olivia Sanare,ningemchagua Olivia.
 
Matokeo ya Poll hadi hivi ninaripoti ni Mnyika 37 (97.37) Nape 1 (2.63).
Nilitatarajia itakuwa kura ya siri, lakini avatar za wapiga kura zimeanikwa pale.
 
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu
sasa wewe kama nape alishidwa na Hawa kura za maoni ubungo kwanini usiseme hawa ndio jembe? Labda ulete POLL ya NAPE VS ILE CHEMBA ya iramba.
 
Mkuu hapa ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu. mia
 
jj kinara wa bunge lililopita hivi nape anamchango gani wa kuweza hata kukumbukwa? Ye aendelee kupaka caro right tu huwezi mfananisha na jembe jj akianza kuongea jj bungeni mpaka jk anakuwa makini kumsikiliza nape nani huwa anahangaika nae?
 
Hahahaa, Nyamizi hata huumi maneno kidogo, KHAAA!!!!!

Hiyo wanaita ngumi ya usoni - Nakubaliana na wewe kuwa Mnyika ni Present and Future wakati akina Nape ni VINTAGE.

Ha!ha!ha! Sikonge,unajua maswali mengine hata ukiulizwa ukiwa usingizini utajibu wala huhitaji kuifirikisha akili.Utamlinganishaje mtu alieshindwa kwenye kura za "maoni" ndani ya chama chake na Mbunge wa kuchaguliwa tena kwa kura za kutosha?
 
usihukumu usije......?
 
Nape Jembe

Huyu si ndani ya CCM kwenye kura za maoni 2010 alishindwa na kikongwe Hawa Ngumbi?Sasa huyu ndiye wa kumlinganisha na JJ?Akipata Nape hata nusu za kura za JJ mwaka 2015 Ubungo basi NEC imtangaze Nape mshindi!
 
Hawa wote ni wasemaji wa vyama vyao na pia Nape alijaribu kugombea Ubungo. Je, uchaguzi ungefanyika leo nani ungempa kura yako?

Mkuu edit hapo, najua umekosea. Mnyika ni Msemaji wa Chama; Nape ni Mropokaji wa Chama.
 
Nape akiwa mbunge wa ubungo kupitia CCM natembea uchi kutoka ubungo hadi posta tena mchana kweupe!
 
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu

Mnyika anamegeka?acha bhana...mimi nilijua ni kamuonekano kakike tu kumbe ni hivyo?!acha masikhara mkuu!thibitisha bhana asije akapewa tongozo akarusha ngumi
 
akili ya Nape bado ni changa sana na ndogo sana kuongoza watu hata angegombe na masuod Kipanya ...masoud angeshinda tena kwa kishindo


Huku ni kumdhalilisha MAsoud Kipanya. Kipanya yuko juu sana, labda umfananishe na Mnyika ndo tunaweza kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…