Nape: uzalendo hauvaliki!

Nape: uzalendo hauvaliki!

YanguHaki

Senior Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
129
Reaction score
9
Kauli mbiu yako ya "vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo" sio sanifu. Kwanza umeitohoa kutokana na ya Chadema ya "vua gamba, vaa gwanda"
Uzalendo ni kitu kisichoonekana bali matokeo yake ndio yanayoonekana. Uzalendo ni mawazo ambayo hujazwa kwa watu kupitia mafundisho ya mara kwa mara ya watu kutambua utaifa wao na kuipenda nchi yao. Uzalendo ni "doctrine".
Kauli ya kuvaa gwanda maana yake ni kujiunga na M4C. Sio kuvaa kabisa nguo za khaki (physical wearing of clothes) zinazotumiwa na CDM.
Sasa basi tuoneshe jinsi kuvaa uzalendo kwa vitendo na sio porojo za majukwaa ya siasa.
 
Back
Top Bottom