Nape utakuja kuwa kiongozi mzuri sana

Pamoja na kwamba umekuwa mstari wa mbele kuweka sheria kandamizi kwenye vyombo vya habari, lakini nakuona kama unaweza kuja kuwa bonge la kiongozi mwenye hekima.

Nimeona maneno yako juu ya madawa ya kulevya, umeongea kama kiongozi .

Big up

Nape Nnauye ni kifaa, bila ya Nape leo nchi hii ingekuwa chini ya Mafisadi papa, Nape ndiye aliyepambana kuhakikisha Fisadi Lowasa na Genge lake hawaiteki CCM na kukimbilia chadema!
 
Kiongozi MZURI huwa ni MSIKILIZAJI mzuri. Ili aweze kutoa UAMUZI wenye BUSARA.
Nape ALIHARAKISHA sana KUTETEA wasanii kuhusu MADAI ya BAADHI yao kuhusika na madawa ya kulevya KABLA ya kupata UNDANI wa jambo zima!
Kama hicho ndo KIPIMO cha uongozi basi tuna SAFARI NDEFU kuwapata viongozi BORA!
 
sheria za nchi hazifuatwi..
 
Pamoja na kwamba umekuwa mstari wa mbele kuweka sheria kandamizi kwenye vyombo vya habari, lakini nakuona kama unaweza kuja kuwa bonge la kiongozi mwenye hekima.

Nimeona maneno yako juu ya madawa ya kulevya, umeongea kama kiongozi .

Big up
Naunga mkono hoja,
Kuna waona mbali walimspot huyu dogo tangu 2009 na baadae 2011. Nahisi kuna watu wakiishika ile ofisi pale Lumumba akili zao huwa zinahama, wakiisha ondoka ndipo zinawarudia, mwangazie Msabaha, Tambwe Hiza, Nape, na sasa Polepole zimeisha anza kumruka. Thanks God Nape sasa zimemrudia, asipowehuka tena, ni one among very strong candidates wa 2025 during Zitto,January, Makonda and the like! .

Hofu ya kutokuwa na mungu chanzo cha mafisadi-nape nnauye

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA
Paskali
 
Hekima ipi hiyo ya Nape..?

Hayo maneno aliyoongea ndiyo yanakupa nguvu yakudai atakuwa vile unavyofikiria, Hayo maneno/kauli imemundondokea kwa bahati kama Manna kwa Wana Waisrael Jangwani.
 
Nape Nnauye ni kifaa, bila ya Nape leo nchi hii ingekuwa chini ya Mafisadi papa, Nape ndiye aliyepambana kuhakikisha Fisadi Lowasa na Genge lake hawaiteki CCM na kukimbilia chadema!
Kiongozi MZURI huwa ni MSIKILIZAJI mzuri. Ili aweze kutoa UAMUZI wenye BUSARA.
Nape ALIHARAKISHA sana KUTETEA wasanii kuhusu MADAI ya BAADHI yao kuhusika na madawa ya kulevya KABLA ya kupata UNDANI wa jambo zima!
Kama hicho ndo KIPIMO cha uongozi basi tuna SAFARI NDEFU kuwapata viongozi BORA!
Timu kutetea maovu katika ubora wao
Mmmmmmmmmm kwa hili hata kama niwasanii potelea mbali, wauza unga kwama kimefika
siungi mkono hoja! Tutetee brand huku vijana wetu wanateketea!

Ningemuona ana busara kama angeanza mbinu za kuwaokoa ila sio wameshatuhumiwa huko eti busara itumike......
Ninyi nyote nawachukulia kama watu wenye akili ndogo sana ya kutafakari mambo na mdio maana mmeshindwa kabisa kuelewa maudhui ya nape , wala hakuwa akitetea bali ninyi ndio mlishindwa kumuelewa kabisa, na mara nyingi akili ndogo huwa haiwezi kujadili mambo makubwa.KAENI KIMYA KWA YALIYO WAZIDI NAYO NI BUSARA.!
 
Umesema kweli mkuu akili za Nape ni tofauti na Makonda.
Akili za Makonda zinafanana na Jp.
Tunasemaga maskini akipata matako hulia mbwata ama debe tupu haliachi kulia.
 
Pamoja na kwamba umekuwa mstari wa mbele kuweka sheria kandamizi kwenye vyombo vya habari, lakini nakuona kama unaweza kuja kuwa bonge la kiongozi mwenye hekima.

Nimeona maneno yako juu ya madawa ya kulevya, umeongea kama kiongozi .

Big up
Hii no kwa sababu yuko in favor kwa rafiki u nduguyo?
 
FB_IMG_1486209575859.jpg
 
Naunga mkono hoja,
Kuna waona mbali walimspot huyu dogo tangu 2009 na baadae 2011. Nahisi kuna watu wakiishika ile ofisi pale Lumumba akili zao huwa zinahama, wakiisha ondoka ndipo zinawarudia, mwangazie Msabaha, Tambwe Hiza, Nape, na sasa Polepole zimeisha anza kumruka. Thanks God Nape sasa zimemrudia, asipowehuka tena, ni one among very strong candidates wa 2025 during Zitto,January, Makonda and the like! .

Hofu ya kutokuwa na mungu chanzo cha mafisadi-nape nnauye

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA
Paskali
Pasco hivi huwa unatumia kilevi gani?
 
Huu ni umbuzi kumuona Nape ana busara kwa maneno ya juu ya dawa ya kulevya wakati kuna maneno chungu nzima alishayaongea yanayodhihirisha hiyo busara yeye mwenyewe hana.
Bao la mkono...
Mipasho kipindi cha katibu mwenezi..
Majibu shombo juu ya muswada wa habari...
 
Back
Top Bottom