Nape upo wapi? Heche kakufumbua macho...

haya ni maneno ya john heche ntaweka pia uchambuzi wa nape ntakapopata muda

nape atsema nini kipya. Atakachosema ni ccm imeshinda kwa kishindo kata 23 kati ya 29. Kwa mtazamo wa jumla ni sawa kabisa. Likini kwa mtazamo wa maendeeleo. Chadema imepiga hatua mbele na ccm imepiga hatua kurudi nyuma. Unapoweza kuongeza kata tatu umepiga hatua mbele. Lakini unapopoteza kata tatu umerudi nyuma hatua tatu. Wakati cdm inaongeza kata, ccm inapoteza.
 
Du!! Maneno mazito mno haya na ni summary fupi sana iliyokaa kisomi na kimkakati zaidi, naamini pamoja na kwamba Nape husema tu bila kufikiri anasema nini katika hili hawezi kunusa pua labda aamue tu kujilipua. Hii inaonyesha utendaji ulio imara na wenye nguvu kwa watu makini wanaojua wako wapi na ni wapi wanaelekea sio kupiga piga kelele tu wakati hauna point.

 

Ritz na chama gomz ni cuf damu wewe.. sio ccm..
 
Saaafiii Saaaana Bwana Heche, na woooote waliochangia mada hii, kwa kutambua kuwa nyakati za sasa siasa ya ukweli ndiyo sahihi kuliko siasa za porojo. lugha hii inajenga chama kuliko lugha ya uzushi ya kuibiwa kura kila mnaposhindwa hivyo kuonyesha dharau kwa watu waliojitokeza kupiga kura na mfumo mzima wa demokrasia .big up HECHE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…