Nape: siasa haikua chaguo langu.

Nape: siasa haikua chaguo langu.

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
458
Reaction score
193
Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm mh.nape amesema aliingia kwenye siasa kwa ajali tu kwa sababu baba yake alikua mwanasiasa maarufu lakini alikua maskini hivyo basi siasa haikua chaguo lake, ndoto yake ilikua aje awe rubani wa ndege za jeshi ndio maana alisoma PGM. Alisema maneno hayo katka kipindi cha my play list kinachorushwa na cloudsTV.
 
Unakuw avipi RUBANI na huku una MISWAKI kwenye VYETI?

Huyu sema alizalima mapema tu, ila kama angezaliwa miaka ya 90 angekuwa ndio Diamond wa sasa.

Huyu fani yake ni mziki na kwa sasa kachagua Siasa kwa kuwa ndio fani pekee zisizo hitaji Vyeti, na hakuna w akukuuliza.
 
Na ndiyo maana haiwezi! Bora apumzike!
 
Ahaaaa!!! Nape PGM ya Mswaki ukawe rubani. I like that boy sometimes uwa anatoaga burudani kwa maneno yake ya mdomoni bila kushirikisha ubongo
 
Huyu mburula ana PGM ya mswaki halafu ukimuuliza elimu yake atakuambia ana Masters degree toka Mzumbe!!! Vyuo vingine kusema kweli havina hadhi na ndio maana jamaa mmoja akasema huwa anaona aibu kusema kuwa ana Masters degree kutoka Mzumbe!!!
 
Rubani wa ungo... kuna mwenzake aliuawa juzi juzi Mbezi. ..
 
Duh, haya bwana, si lazima kila ndoto iwe kweli!
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm mh.nape amesema aliingia kwenye siasa kwa ajali tu kwa sababu baba yake alikua mwanasiasa maarufu lakini alikua maskini hivyo basi siasa haikua chaguo lake, ndoto yake ilikua aje awe rubani wa ndege za jeshi ndio maana alisoma PGM. Alisema maneno hayo katka kipindi cha my play list kinachorushwa na cloudsTV.

Ashamjua baba yake kwani anavyosema alikua maskini?
 
Unakuw avipi RUBANI na huku una MISWAKI kwenye VYETI?

Huyu sema alizalima mapema tu, ila kama angezaliwa miaka ya 90 angekuwa ndio Diamond wa sasa.

Huyu fani yake ni mziki na kwa sasa kachagua Siasa kwa kuwa ndio fani pekee zisizo hitaji Vyeti, na hakuna w akukuuliza.

Eti rubani wa ndege tena anadai alipenda PGM. Physics F Geograph F Mathts ndio usiseme ni zaidi ya F naweza kuita G.
 
Alitamani jamani tatizo kichwani hakujaaliwa....
 
Hii ndio kazi ya ndoto zake
ImageUploadedByJamiiForums1389189009.067762.jpg
Hii nyingine imejitokeza tuu ila ikamfaa sana
ImageUploadedByJamiiForums1389189696.238670.jpg
 
Rubani wa ndege za jeshi wa Divisheni 0 ya form IV?

Physics F
Geography F
Basic Mathematics F
English F
 
Back
Top Bottom