Nape: siasa haikua chaguo langu.

Nape: siasa haikua chaguo langu.

Naam na ndio maana hali iko hivi!!!!!
Ni kulazimishwa tu sababu baba alikuwa yaani kaeleza jinsi huko chamani kwao wanavyopata madaraka!!!!

Halafu ndio maendeleo yatakuja hivi,viongozi kupatikana kwa historia za baba zao???!!!!!!

This is why I hate the party!!!!!
 
Du,kuna siku great thinkers mnaamua kutoa burudani tu,yaani nimecheka mpaka mbavu zikauma.
 
ndoto yake itatimia maana baada ya siasg atakuwa mfalme wa mipasho kwenye taarabu siku fisad lowa asaa atachukua dola
 
Du,kuna siku great thinkers mnaamua kutoa burudani tu,yaani nimecheka mpaka mbavu zikauma.

mwenye cv ya nape aiweke humu.tuone ndoto yake ya kua rubani wa ndege za jeshi kupitia PGM,
 
Baba alikuwa mwimbaji kama Komba

Wewe wamjua babako? au wafikirije!Waweza pia kuwa ndugu yake Nape
images.jpg
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm mh.nape amesema aliingia kwenye siasa kwa ajali tu kwa sababu baba yake alikua mwanasiasa maarufu lakini alikua maskini hivyo basi siasa haikua chaguo lake, ndoto yake ilikua aje awe rubani wa ndege za jeshi ndio maana alisoma PGM. Alisema maneno hayo katka kipindi cha my play list kinachorushwa na cloudsTV.
.Hata Mwigulu hawa jamaa hawajui hata kuandika hotuba.Kazi yao nikupambana na upinzani ili wasikosolewe!
 
Back
Top Bottom