Nape Nnauye: Wanahabari ikosoeni serikali kwa habari za kujenga taifa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
Waziri wa habari utamaduni michezo na Wasanii Mh.Nape Nnauye amevitaka vyombo vya habari kutumia nafasi yao kama mhimili wa nne kuikosoa serikali kwa nia njema ili itekeleze agenda ilizoahidi kwa wananchi.
 
Nape Nnauye anataka watu wote tuishie magereza kwa kukamatwa wakati Mtukufu hataki kukosolewa kabisa ndo Yeye na serikali wametuwekea sheria kandamizi kwenye social media.
 
Nape Nnauye anataka tuishie magereza wote wakati Mtukufu hataki kukosolewa kabisa ndo Yeye na serikali wametuwekea sheria kandamizi kwenye social media.

NAdhani amesahahu kwamba yeye ndiye aliyeamua kupitisha ile sheria ya kunyima watanzania uhuru wa mawazo.Wanakumbuka Shuka kumeshakucha siku ya pili
 
Mtukufu kashakubali kukosolewa na kujaribiwa?.....au Nape kauchoka uwaziri.
 
Back
Top Bottom