nimekuwa nikimfuatilia Nape Nnauye tangu alipokuwa UVCCM kuna wakati nilimuona kama mtu mwenye dhamira ya zati na uzalendo wa kweli wa hii nchi ila siku zinavyokwenda nimekuja kugundua sivyo nilivyo dhani. Bali kipindi kile ilikuwa ni maneno ya mkosaji kwani amekuwa mtu wa MAJUNGU,FITINA, MUONGO, MNAFIKI, MZANDIKI, KJ,ASIYEJIELEWA, MROPOKAJI, MKURUPUKAJI, MWENYE MAWAZO NA HOJA ZA KITOTO, ASIYEWEZA KUPIMA MANENO YAKE NA USITO WA NAFASI YAKE ALIYO NAYO.
NI KWELI NI KIONGOZI WA CCM NA WATU KWELI SIIPENDI CCM ILA NINAJARIBU KUJIPA SABABU ZA KUNISHAWISHI KUIPENDA NAKOSA KWANZA KABISA NI KWA SABABU YA AINA YA VIONGOZI KAMA HAWA.
kwa yeyote anayemjua NAPE na amtafsiri kama anavyomuelewa pia yeye nitafurahi kama atapanda hapa kujitafsiri na kujielezea hapa.
tupia hapa unavyomuelewa huyu Nappe Nnauya Kj.