Katibu wa itikadi na Ulegezi wa CCM Nape Nnauye leo Atasikika ktk kipindi cha Mkasi kinachoendeshwa na Salama Jabiri..JE NI NAPE YULE WA POROJO ZA KISIASA AMA ATAKUJA KIVINGINE.stay tuned
Siku tatu kabla baba yake hajafariki alimwambia kuwa amtegemee mungu kwenye siasa na asisshiki mambo ya uchawi.
Kuna mzee alimwambia waende bagamoyo kuloga ila akampiga chenga mzee huyo.