Nape Nnauye: An exemplary leader!

HYa Chadema wanakusifu. Big up! Nyerere isema kaburu ni kaburu tu hata akiwa mwafrica.Makonda ni kaburu na inabidi adhibitiwe
 
Nape ni kiongozi kijana jasiri na mkweli. Hana mfano.
 
Huyu nape kasomea itikadi, chuo cha CCM Kivukoni. Anajua kucheza mind games.

Kila siku CCM mmoja akifanya vibaya, anatokea mwingine anafisha na wananchi wanarudisha imani tena.

Hamjawajua tu?
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa amefanya kazi nzuri sana ila wasiwasi wangu,
je hiyo Report itazaa matunda maana mkulu hataki kuambiwa wala kusikia.
 
IPILIMO
nyie ndo munaitwa wadakuuu na mkuluu xx ww km unashughuli yako umalazimixhwa kuingia humu na pili huo ni uzembe wako binafsi wenzio tushamaliza kazi zetu tukapata karobo ka ugali ka jeroo na maji ndio tukaja kuijadili nchi yetuu halaf ww unatwambia haya hayatusaidii
Huenda na ww brain yako ni bashiteeee kasoroi vyeoo na kubebwaa tuuu
 
MAMBO YA CHUMBANI MWANAUME ANAYATOA HADHARANI HIYO NI AKILI AU MATOPE? ALIPASWA AKAE CHINI KWANZA. KAMA NINGEKUWA MIMI WAKATI MWAJIRI WAKE NA BOSI WAKE JPM AMESEMA AACHWE MAKONDA APIGE KAZI ANGEPASWA NAPE KUACHANA NA SUALA HILO. HATA KAMA ALITAKA KUENDELEA NALO ANGELIPIGA CHINICHINI. UNAJUA KWA NINI MAKONDA ANAPENDWA SANA NA JPM NI KWA SABABU HATA KAMA KUNA TOFAUTI WANAZIMALIZA CHUMBANI.

KUWA KIONGOZI MZURI NI UWEZO WA KUFUNIKA MADHAIFU YA WENZAKO HUKU UKITAFUTA UFUMBUZI WA JAMBO. MOJA YA VIONGOZI WA JPM WAJINGA NI NAPE. KAMA NINGEKUWA MIE NDO JPM NINGEMTUMBUA MAPEMA, HAFAI KUWA KIONGOZI. HUYO NI MSALITI KABISA. MOJA YA MAADILI YA SIFA NJEMA ZA KIONGOZI NI UWEZO WA KUONA UDHAIFU WA WENGONE NA KUTAFUTA NJIA YA KUUFUNIKA NA HUKU UKITAFUTA NJIA YA KUPITA. POSITIVE THINKERS ALWAYS SEES THE WAY THROUGH NOT THE WAY TO BLAME OTHERS INTHE PUBLIC.

BOGUS LEADER.
 
Mambo ya chumbani ni upeo mdogo wa akili yako.
Utawala bora unaenda mbali zaidi ya fikra zako za chumbani.
 
ww ndio fafafafa km Bashite kweli
ulitaka aliache kwa maslahi ya nan ? kuimarisha chama cha ccm? na clouds nao kilio chao angekisikiliza nan? mbona kwenye list ya madawa ya kulevye hakufanya kmyakimya na ulifueahi tuu ..katimiza majukum yake na kuyafanyia kaz malalamiko ya clouds media
 
KWA UPEO WAKO MDOGO WA MAMBO YA UONGOZI. ULISHAONA CHAMA AU TAASISI YOYOTE UONGOZI WAKE UNAPINGANA HADHARANI NA IKASIMAMA? KWANI HAMNA VIKAO VYA KUONGELEA HAYO.? NARUDIA KUSEMA NAPE NI JIPU LILILOIVA KABISA LIKO TAYARI KWA AJILI YA KUTUMBULIWA.
 
KWA UPEO WAKO MDOGO WA MAMBO YA UONGOZI. ULISHAONA CHAMA AU TAASISI YOYOTE UONGOZI WAKE UNAPINGANA HADHARANI NA IKASIMAMA? KWANI HAMNA VIKAO VYA KUONGELEA HAYO.? NARUDIA KUSEMA NAPE NI JIPU LILILOIVA KABISA LIKO TAYARI KWA AJILI YA KUTUMBULIWA.
Ukimpenda Makonda kanywe naye chai.
Anayofanya na unayemtetea ndio upeo mdogo wa elimu yenu.
 
Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini napongeza msimamo wa Mh waziri, amefanya alichotakiwa kufanya kama Waziri mwenye dhamana, hongera sana Mh Waziri kwa kutambua wajibu wako!
 
100% truth shall set you free!!! he is free wether Mkuu amchukulie hatua mtuhumiwa or not yeye ametimiza wajibu wake!!
 
Hamna lolote huyo jamaa Nape ni ovyo sana. Tatizo la bongo system nzima haiko consistent. Kila kiongozi anatoa maamuzi yake alafu wanapingana wenyewe kwa wenyewe. A strong country needs strong institutions bila kutegemea mpaka waziri au makonda aongee ndiyo jambo kutekelezwa.

Bado tuko nyuma sana wacha Magu aendelee hivyohivyo kiubabe ubabe mpaka nchi inyooke, then whoever takes over the county in the near future will have it easy to manage according to the rule of law.

At the minute, I think Magu is doing a fine job with his style of governing and that's what TZ needs. The experience of being ruled by Mkapa and Kikwete as Presidents was terrible. All of them failed to tackle corruption, tax avoidance and crime to name a few. But this great man Magu is doing a great job at his own style and I applaud him for that.

Wacha hawa wakina Nape wawepo katika ngazi zao kama toothless dogs then he will learn the hard way kama alivyowafanya watanzania wasiwe na uhuru wa habari.
 
Mkuu mbona wachanganya mambo?
Unamlinganisha Nape na Rais Magufuli kwa vigezo vipi haswa?
Mada hii toka mwanzo haina ulinganishi wowote kati ya waziri na mkuu wake.

Magufuli ataendelea kushika nafasi yake, tena anaimudu vilivyo.
Watu walikuwa na uongozi wa mazoea, Magufuli kaondoa hiyo tabia na tunampa hongera.
Baada ya kusema hayo twajua fika kuwa Nape ni mteule wa Rais kama alivyo Makonda.
Makonda "katia najisi" kazi ya mteule mwenziwe Nape, ambaye amechukua hatua muafaka.
Bado suala hatimaye litamfikia Magufuli kwa hatua za mwisho.

Mchango wako uko misplaced au umekaa kichonganishi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…