Nape Nnauye: An exemplary leader!

Kwa kweli Nape anastahili pongezi sana. Nadhani katika safu ya mawaziri wa awamu hii ni pekee anayethubutu kuusema ukweli ulivyo bila kuogopa lijalo mbele yake.

Ukianzia jinsi alivyotoa ushauri wa busara wa namna ya kulishughurikia suala la vita dhidi ya dawa za kulevya bila kuchafua sifa za watu, na hili la leo kwa kweli ni kiongozi pekee kwa awamu hii. Big up Nape!!!
 
viongoz wote wangekuw kama nape hata sozonje angebadlka 7bab angejkuta yupo peke ake, lakn tatzo la viongoz wa ktiz kusemea uvunguni, wakiogpa kupotez vyeo vyao
 
Reactions: MTK
Huyu sindo alikua akiitwa vuvuzela, hahahaaaaa wabongo na akili.
Maneno ya kwenye kampeni uliyalete kwenye masuala serious yanayoweza kuyumbisha taifa, ni wajinga tu ndiyo wanaweza kuona kile alichofanya Makonda ni kitu cha kawaida.


Nape Mungu yupo nawe , na wananchi wapenda haki tupo upande wako, songa mbele.
 
Wapo wengi wanasema ukweli lkn wanasemea uvunguni
 
Reactions: MTK
Nape ukiendelea kulinda
1. Haki
2. Majukumu ulio kabidhiwa
3. Ukijua hakuna aliye juu ya sheria
4. Nitamwomba Darasa akutungie wimbo!!!!!
 
Huyu sio yule muasisi na mtekelezaji wa goli la mkono?
NADHANI BILA NAPE LEOTUSINGEKUWA NA MAGUFULI....Laana ya kuiba kura za watz itamuandama nape
 
Maneno ya kwenye kampeni uliyalete kwenye masuala serious yanayoweza kuyumbisha taifa, ni wajinga tu ndiyo wanaweza kuona kile alichofanya Makonda ni kitu cha kawaida.


Nape Mungu yupo nawe , na wananchi wapenda haki tupo upande wako, songa mbele.


Achana na huyo mkuu yeye anadhani kila kitu ni kupiga tu.

Mm mwenyewe JPM alipoanza Kazi nilianza kushawishika kumkubali ingawa sijawai kumkubali tangia nakutana naye mara ya kwanza kwenye kijiwe cha kahawa chato kabla hata hajawai mbunge.

Ila alipoanza kufanya manyanga yake sijutii kutokumkubali tangia nionane naye Mara ya kwanza pale chato kwa mzee Masatu kwenye kijiwe cha kahawa. Yaani nilikuwa bado mdogo hata sijaanza form one ila sikumkubali kabisa yaani.
 
Nape amejijengea heshima kubwa kwa watanzania kwa kusimamia ukweli. Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kwa mwendo huo unafaa kuwa rais wa JMT siku za usoni. Hongera sana. Tungekuwa na Nape kumi ndani ya CCM nchi ingeenda kwa kasi sana

Weee Nani kkakwambia Urais ni Kama Pipi?
 
Congrats Nape Moses Nnauye.....Wewe ni mtu makini

Haijalishi uko CCM...Lakini ni mtu makini..kosa lako ni kukubali kutudanganya kuhusu bunge live
Angefanyaje na mkulu aliamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…