Nape: NEC wawajibishwe

Nape: NEC wawajibishwe

Du kuna maigizo huku duniani ila ccm wamezidi na cha ajabu anaongea halafu waandishi hâta hawamuulizi maswali .yaani ujinga ufanywe na jk leo imekuwa lubuva

bahasha za kaki zinawasumbua
 
Mbona tulishasema Ufalme wa Magamba umegawanyika ”MENE MENE TEKELI NA PERESI"
 
NEC hawakuwahi kutangaza trh ya kura ya maoni
 
Nape unamuonea tu Judge Lubuva.Judge alishasema hakuna UCHAGUZI wala KURA YA MAONI bila daftari jipya la wapiga KURA.Ninakumbukumbu nzuri tu za bwana mropokaji Nape Nnauye..ambaye aliwahi kusema CCM haihitaji BVR machine na mnataka daftari la awali lifanyiwe marekebisho tu na kura ziendelee Judge aliwakatalia,sasa kwa kisasi mlichozoea mlimfanyia makusudi hamkumpa pesa za kutosha ili aweze kuagiza machine hizo za kutosha.Pili mkijua wazi kabisa wataandikishwa watanzania wengi,hata Balozi wa Sweeden alipotoa offer ya kusupply vifaa na si pesa mlimpinga.na mkawaambia mnazopesa za kutosha kuagiza.Nape serikali iliyojaa rushwa na ubadhirifu chini ya WM mlijua mnachokifanya 10% kwanza Taifa baadaye.

Nape ungeanza na watu hawa kwanza:

1.Waziri Mkuu Peter Mizengwe Pinda.

2.Waziri wa Fedha Saada Mkuya.

3.Mwenyekiti wako wa chama cha Mafisadi.

Baada ya hawa watatu ndiyo labda tena nasema labda ungerudi kwa Judge Lubuva.

Bahati mbaya Mungu ameshawatia UPOFU wa kujua mema na mabaya.
 
kumbuken pia waliawajibishwa wakirugenzi kule mahal ccm walifanyiwa mascare kwenye serikali za mtaa, labda kuna sehemu nec wamecheza kama barcelona sasa magamba wamesanua
 
Hivi yule jamaa aliyekuwa na cheo hiki cha Nape, Tambwe Hizza yuko wapi? Maana naona jamaa anakaribia kumfuata huko aliko.
 
Ndani ya CCM hakuna Tume Huru, hakuna Mahakama Huru, Hakuna Bunge Huru... Wote wanamilikiwa na Mafisadi ...
 
Mkuu heshima yako, bila shaka Unamzungumzia Tambwe Hiza yule alikuwa mkuu wa propaganda hapo Lumumba (2008-2010) aliyesema kuwa "kuliko kurudi ccm heri amlale mama yake mzazi?? sijui alishamlala- mama yake maana kwasasa Tambwe mwenyewe hasikiki tena, daaah watu wa kigoma walio wengi si wakuaamini amini kabisa hasa katika siasa..........
Hivi yule jamaa aliyekuwa na cheo hiki cha Nape, Tambwe Hizza yuko wapi? Maana naona jamaa anakaribia kumfuata huko aliko.
 
tambwe ccm walimdanganya akatibu cuf ili apate tonge ccm mwisho wa siku kaishia kupewa tenda ya kuosha magari ya wabunge wa ccm na kufyeka nyasi za ikulu.nasikia ameanzisha kilimo cha mbogamboga msimbaz sijui kwel!!:cool
 
Back
Top Bottom