Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,171
- 162,618
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, ametaki viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), wawajibishe kwa kuahirisha tarehe ya kufanyika kura ya maoni.
Nape ameituhumu NEC kwa kutumia fedha za umma kugharamia semina na vikao visivyoisha kwa ajili ya zoezi hilo na kwamba hawakusikiliza ushauri kuwa zoezi hilo lisingewezekana.
Chanzo:Mwananchi
My take:
Jaji Lubuva, maadamu Nape kaamua kamwaga mboga, basi nawe mwaga ugali ili kukuta mzizi wa fitina.

Labda hajui akisemacho lakini a nao waambIe wanajua. Pamoja na matatizo yake Tume hata siku moja hajatangaza siku ya kura ya maoni. Mzee alikataa kabisa kujiingiza. Tarehe yenyewe ilitangaziwa nje ya nchi na mtu ambaye kisheria hakupaswa kufanya hivyo. Kwa vile 'Tume ni huru', baada ya kushindikana wale wote waliokuwa wakishadidia tarehe hiyo walishindwa kusema wakawalazimisha mzee wa watu kutangaza kuahirishwa, bila kusema kuhairishwa huko ni mpaka lini! Kisha yanakuja maigizo ya Bw. Nape!Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, ametaki viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), wawajibishe kwa kuahirisha tarehe ya kufanyika kura ya maoni.