Nape, Ndoto zako hizi ziliishia wapi?

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,244

Nape jipange ili urudishe imani kwa wana CCM wakupitishe Ubungo kura za maoni ili badae uje Umng'oe Mnyika 2015.

Ikishindikana Gandana na Kinana akuachie Mikoba Ya Ukatibu Mkuu maana anakupigisha zoezi.

NAOMBA KUTHIBITISHIWA, ETI:-
MNYIKA VS NAPE, FORM FOUR RESULTS
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D,
CHEM D, PHY D, CIV F

JOHN MNYIKA
DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST
A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A
 
For one thing imekuwa afadhali hiyo hadithi ya kuwa Mwanajeshi na rubani, iliishia usingizini. Jeshi lingekuwa na hasara sana kuwa na mtu kama Nape. By the way nnaweza kubet kuwa interview angefeli. Na hata angepitishwa depo ingemshinda. Kule waimba taarabu hawamalizi.
 
Mkuu unafikiri ni ufaulu hafifu ndo ulizima ndoto zake nini?
 
Mbona na wewe umeandika mipasho sasa?
 
Mkuu unafikiri ni ufaulu hafifu ndo ulizima ndoto zake nini?

Ufaulu hasa siyo tatizo. Tatizo ni kutokuwa na msimamo wa kujua unataka nini na nini ni sahihi. Na bahati mbaya hizo ndizo tabia zinazomtofautisha mwanaume na wengine waliobaki. Na ni hizo sifa, ambazo mpaka kesho Nape anazikosa. Na mpaka atakapoanza kuonyesha dalili za kuwa mwanaume, nadhani ndiyo tunatakiwa kuanza kumuelewa.
 
Mbona na wewe umeandika mipasho sasa?

Nadhani kuna tofauti ya mipasho na ukweli. In case hujanielewa angalia umri wa Nape, halafu husianisha na kauli na matendo yake. Halafu niambie kama kusema ukweli ni mipasho.
 
Nadhani kuna tofauti ya mipasho na ukweli. In case hujanielewa angalia umri wa Nape, halafu husianisha na kauli na matendo yake. Halafu niambie kama kusema ukweli ni mipasho.

Ubongo na mwili jumlisha umri
 
Nape jipange ili urudishe imani kwa wana CCM wakupitishe Ubungo kura za maoni ili badae uje Umng'oe Mnyika 2015.

Ikishindikana Gandana na Kinana akuachie Mikoba Ya Ukatibu Mkuu maana anakupigisha zoezi.

Ingekuwa jeshi la mkoloni sawa lakini jeshi la sasa hivi linahitaji ufaulu mzuri pamoja na busara na wala siyo mtulinga tu.
Kama angefanikiwa kuingia jeshini basi kupanda cheo ingekuwa kazi. Nafasi aliyonayo sasa ni post safi sana kwake kwa uwezo wake, ni nafasi ya kupiga debe tu na wala huhitaji kufikiri hata kidogo.Kimsingi amshukuru Mungu kwa nafasi aliyonayo maana nikiifananisha na jeshini ni sawa na brigedia generali cheo ambacho kukifikia lazima mtu awe na uwezo mkubwa kusoma na kuwa mbunifu na hasa pale ukipewa brigedi kwenda vitani
 
Hayo masomo yenyewe kama kweli alikuwa serious hiyo Geograpy na Physics alipata alama gani za ufaulu? Na pia ina maana siasa alianza alipokuwa anasoma olevel
 
Yaani,angeweza kupokea fungu na kuwatosa wenzake.Yaani afadhali hakuwa.
 
Hayo masomo yenyewe kama kweli alikuwa serious hiyo Geograpy na Physics alipata alama gani za ufaulu? Na pia ina maana siasa alianza alipokuwa anasoma olevel

Alijitahid akapata D flat ila math. Alipiga F
 
hayo masomo yenyewe kama kweli alikuwa serious hiyo geograpy na physics alipata alama gani za ufaulu? Na pia ina maana siasa alianza alipokuwa anasoma olevel

naomba kuthibitishiwa, eti:-
mnyika vs nape, form four results

nape nnauye
div iv-29
kisw d, hist d, geog d, eng f, b/math f, biol d,
chem d, phy d, civ f

john mnyika
div i-7
phy a, chem a, biol a, civ a, engl a, geog a, hist
a, b/math a, kisw a, b/know a
 
Yaani,angeweza kupokea fungu na kuwatosa wenzake.Yaani afadhali hakuwa.

Kupokea fungu wala isingekuwa tatizo. Wasiwasi wa hizo ndege kupotelea kusikojulikana, na kuwasaliti wenzake kwa kuuza siri za jeshi. Nna maana sioni ni vipi mtu anaweza kuwasaliti wananchi halafu huyohuyo awe kamanda wa kutumainiwa jeshini!
 
Tatizo hajui nini anahitaji kukifanya.Alianza na magamba ikashindikana,sasa hivi ukimsikiliza kuanzia mwanza wa hotuba ni wapinzani na hadithi za UKAWA.
 
Kipawa alichopewa huyu jamaa ni Uijiristi, huko kwenye siasa ni mapito tu.
 
Ni ukweli kabisa,sasa huyo Nape na ndoto zake za kuwa rubani wakati hata hayo masomo yenyewe ilikuwa mtihani sana
 
Mkuu Fuso hicho Kipawa Cha Uinjilisti si ndo Wapo Mzee Wa Upako, Kakobe Mama Lwakatare, Kilaini na Wanapiga maisha Vizuri tu.
Askovu Nnauye inaleta picha kiasi.
 
Ndoto za mtu ni ngumu kuzifikia kwa watu wa Dunia ya Tatu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…