Nape, Ndoto zako hizi ziliishia wapi?

Tatizo hajui nini anahitaji kukifanya.Alianza na magamba ikashindikana,sasa hivi ukimsikiliza kuanzia mwanza wa hotuba ni wapinzani na hadithi za UKAWA.

Mwacheni aendelee kuipaisha UKAWA ichukue nchi 2015.
 
Hayo masomo yenyewe kama kweli alikuwa serious hiyo Geograpy na Physics alipata alama gani za ufaulu? Na pia ina maana siasa alianza alipokuwa anasoma olevel

Geography D physics D!!!! Kweeli alijipanga kurusha ndege ya jeshi.
 
Tatizo hajui nini anahitaji kukifanya.Alianza na magamba ikashindikana,sasa hivi ukimsikiliza kuanzia mwanza wa hotuba ni wapinzani na hadithi za UKAWA.

Ndiyo maana nasema uwiano wa uwezo wake kiakili ukilinganisha na umri alio nao naona ni haiji. Huwa nashangaa hata hao waliompa nafasi hiyo. Sijui ni nai aliwaambia kazi ya nafasi hiyo ni kuongea tu bila kuangalia hoja au ukweli( kuropoka)!
 
naomba kuthibitishiwa, eti:-
mnyika vs nape, form four results

nape nnauye
div iv-29
kisw d, hist d, geog d, eng f, b/math f, biol d,
chem d, phy d, civ f

john mnyika
div i-7
phy a, chem a, biol a, civ a, engl a, geog a, hist
a, b/math a, kisw a, b/know a

source of this information.
 
Ukimsikiliza Nape basi hata Yesu utafikiri anaishi bungeni Dodoma....kale kayanki kana uwalakini fulani kichwani na ndiyo maana people don't take him seriously. Mpaka vijijini watu wameshamjulia ujinga wake, wakitaka asiongee sana kwenye mkutano wanaenda na ngoma ama magitaa ili apige tu apoteze muda, watu wale pilau za bure zilizoandaliwa na madiwani wa ccm huko vijijini.
 
Ndiyo maana nasema uwiano wa uwezo wake kiakili ukilinganisha na umri alio nao naona ni haiji. Huwa nashangaa hata hao waliompa nafasi hiyo. Sijui ni nai aliwaambia kazi ya nafasi hiyo ni kuongea tu bila kuangalia hoja au ukweli( kuropoka)!

Kama alipata civics F naweza kuelewa.
 
Tetty hawa jamaa ni wa ajabu eti. Unaweza kukuta mtu ana elimu ya kutosha na anaongea pumba, taahira cha mtoto.

Kinachosababisha ni kutokujua maana halisi ya upinzani.Wengi wao wameweka upinzani ni kama maadui wakubwa wa nchi,wanashindwa kuelewa adui mkubwa ni yule anayeiba mali au raslimali za taifa.Na pia wanakuwa hivyo sababu wananeemeka na hali hii ya sasa.

Watanzania hatuna chetu mpaka tuamue kwa moyo kabisa sasa CCM basi,ndipo tutakapopata ahueni,labda ikikaa nje kwa kipindi japo kimoja itakuwa imejua nini watanzania tunachohitaji.
 
Geography D physics D!!!! Kweeli alijipanga kurusha ndege ya jeshi.

Kwani safa za kujiunga na jeshi kwa wahitimu wa kidato cha nne huwa ni wenye DIVISION NGAPI? Binafsi najua
1. One na two plus three baadhi huenda kidato cha tano.
2. Three zinazobaki na four mpaka ya 27 ualimu
3. Four 28- 29 Jeshi - hii inajumuisha majeshi yote (Polisi, Magereza, JWTZ, JW)
Hivyo kwa sifa hizo nape alifanya vizuri na ana sifa za kujiunga na jeshi.
Tusishangae maamuzi na utendaji wa majeshi yetu kwani ndio cream ya mwisho ya ufaulu kwa nchi yetu
 
Haitakiwi ufaulu sana unatakiwa uwe tu na bahati hahahaha (PGM mwaya)
swala la bahati naamini kwani rafiki yangu ni rubani precision air yeye alipata d mbili tu form4 babayake akampeleka us akasomea urubani saiv anakula maisha sasa hiyo pgm haijui kabisaaa
 


Nape jipange ili urudishe imani kwa wana CCM wakupitishe Ubungo kura za maoni ili badae uje Umng'oe Mnyika 2015.

Ikishindikana Gandana na Kinana akuachie Mikoba Ya Ukatibu Mkuu maana anakupigisha zoezi.

NAOMBA KUTHIBITISHIWA, ETI:-
MNYIKA VS NAPE, FORM FOUR RESULTS
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D,
CHEM D, PHY D, CIV F

JOHN MNYIKA
DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST
A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A

BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom