Nape nchi hii ni yetu sote..!

Nape nchi hii ni yetu sote..!

Ndo anajua leo kwamba nchi hii ni ya Watanzania wote? Kwanafasi yake awaambie wenzake sasa kwamba wanatakiwa kutimiza wajibu wao kikamilifu.......
 
ikiwa imefikia kipindi watu wanauliza ni nini dalili ya mchana basi watu wawe tayari kwa lolote kutokea katika jamii hiyo..,ikiwa haya yanayoendelea kutokea igunga bado yanaonekana ni matukio ya kawaida ambayo watu hawatakiwi kushtushwa nayo eti kwa kivuli cha siasa na uchaguzi basi watu wakae tayari kwa lolote....!
 
Selective memory at its best. Hivi wewe hali ile ya kumwagia watu tindikali, kubaka msichana na hata kumdhalilisha mkuu wa wilaya unaona kwa standard ya Chadema ni vitendo vya kudumisha amani? Hebu tuondoleeni balaa yenu hapa!
Jamani tindikali si wanamagamba walimwagiana wakigombea rushwa mliyowapa? Acheni kusingizia CDM kwa ufirauni wenu bana tumechoka. Kila mkinya harufu ya mavi yenu itoke CDM wapi na wapi?
 
kiburi cha dola kinawasumbua ccm, hawasomi alama za nyakati
 
Back
Top Bottom