Nape Nauye na Wassira ndani ya TBC1

pumbavu zao,huyo mnyamapori nae atatueleza nini?ngoja niwapigie simu askari wa wanyapori akimaliza kipindi wamrudishe kwenye ZOO...
:rip:CCM.
 
Mwisho wa jambo ukifika hakuna mwenye nguvu yakuzuia hawa wanatapatapa lakini watunyoosha mikono jamani bado sijapata uhakika ratiba ya maandamano bado iko palepale?
 
Hii katiba sio ya Chama chochote cha siasa ni ya wananchi wote, kuandaa muswada kwa kuegemea upande wa serikali sio sawa kabisa, nina amin wananchi wana nguvu kubwa kuliko serikali, kwani serikali imewekwa madarakani na wananchi.
 
Back
Top Bottom