Nape nauye asema UKAWA wasirudi bungeni

Nape nauye asema UKAWA wasirudi bungeni

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Katibu mwenezi wa CCM mh.Nape Nauye, amesema ukawa usirudi tena bungeni. Je, hii kauli yake ni sahihi?
 
Mpaka August watakuwa na njaa sana posho zimeisha na zile hela walizopewa kutoka nje ili kuvuruga amani yetu watakuwa wamedhurumiana na kusambalatika, bunge likianza utawaona haoo mmoja mmoja wa kwanza lema labda wamfunge kamba
 
wakati ccm wanaomba kila siku warudi,kwani wasiporudi kura hazitoshi.
 
Mpaka August watakuwa na njaa sana posho zimeisha na zile hela walizopewa kutoka nje ili kuvuruga amani yetu watakuwa wamedhurumiana na kusambalatika, bunge likianza utawaona haoo mmoja mmoja wa kwanza lema labda wamfunge kamba

??????
 
Usifikiri ulivyo na njaa ndivyo wenzio walivyo, endelea kuwa mchumia tumbo akina ridh 1 wakirithishwa nchi. shame on you:frusty:
 
Mwambie kuwa tutarudi kwa nguvu zote kwa kutumia Mlango ule ule tuliotokea mpaka pale Tanganyika yetu itakaporudi.
 
unachekesha njaa uliyonayo wewe na demu wako usidhan ukawa utajiringanisha nao........ nape naye aendelee kufuga mshipa hana lolote zaidi yakutumiwa
 
Nape akili zake zina matatizo kidogo. Ukiona kalisema hilo, ni tayari wameshalipanga ili waonekane ccm kuwa wana nguvu sana hata kuwaamuru UKAWA kurudi. M/kiti mwenyewe alisema warudi kumaliza alicho watuma.
Pole zenu ccm, kipindi hiki, hamkujua njia. Kama kuna masaka tonge ni hayo yaliyobaki nyuma kujadili ambacho sicho tulicho watuma
 
ImageUploadedByJamiiForums1399230891.736818.jpg
Anawaza wali na maharage tu
 
Usifikiri ulivyo na njaa ndivyo wenzio walivyo, endelea kuwa mchumia tumbo akina ridh 1 wakirithishwa nchi. shame on you:frusty:

Kama hawana njaa kwanini walisubiri posho itoke ndiyo waondoke bungeni?
Halafu eti mnajitia mnauchungu na hela ya mlipa kodi?!
Shame on you.
 
Kama hawana njaa kwanini walisubiri posho itoke ndiyo waondoke bungeni?
Halafu eti mnajitia mnauchungu na hela ya mlipa kodi?!
Shame on you.
hahahah rich paul beibi wewe ni serikali tatu ama mbili?
 
Kama walimponda warioba kwanini wanaendelea kujadili rasimu wasiyoikubali? si waache kujadili. Hivi CHADEMA wangeuwa nao wangeingia bungei na katiba mbadala kama CCM si kungewaka mojo. Bora walisusia uvundo. Najiuliza kwanini Tunasherehekea Uhuru wa Tanganyika mbayo haipo?
 
hahahah rich paul beibi wewe ni serikali tatu ama mbili?

Honey mimi sipendi siasa ila napenda amani!
Sasa kuna kikaragosi kimoja toka ukawa kilisema mbele ya camera eti bila serikali 3 hakutakuwa na amani, watachochea vurugu kama Kenya 2007!
Hun mimi mtu wa bata nikae ndani kweli nisitoke kwa kuhofia vurugu kisa njaa na uroho wa madaraka ya watu wachache?
 
Who is nape by the way. si ni mtu wa chama tu. Bora nape angejikalia kimya tungemuheshimu. lkn anavyobwajaja tunaweza kabisa kujua mental capability yake.
 
Back
Top Bottom