Nape Nauye amkubali Edward Lowassa kwa utekelezaji

John Okello

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
459
Reaction score
207
Katika kipindi cha asubuhi hii cha clouds360 Nape Mosses Nnauye amekiri haya "CCM ni chama chenye document nyingi zaidi lakini hakina utekelezaji".

Tafsiri ya Maneno haya ni sawa na ya Edward Lowassa aliyoyasema katika bunge kwa serikali ina uzito wa utekelezaji wa walio kubaliana yaani maamuzi.

Hivyo Nape Nnauye ni mhubiri wa siasa za Maamuzi Magumu ambazo kwa sasa zinaongozwa na Edward Lowassa lakini tatizo tuu ni kiburi chake cha kukimbia kivuli chake.

Chanzo: clouds360 16/02/2014.
 
Unasikiliza peke yako? kasema CCM Haihitaji mtu wa kuoshwa na dodoki ni nani mchafu kama sio Edward Ngoyai Lowassa???
 
Lowasa siyo mchafu bali nape ana ugomvi wa kihistoria na Lowasa pia jimbo ambalo membe analompa kule mtama linamfanya Nape aweweseke
 
Usimzulie bure Nape. Hakuna mahala ametaja jina la Lowasa
 
Unasikiliza peke yako? kasema CCM Haihitaji mtu wa kuoshwa na dodoki ni nani mchafu kama sio Edward Ngoyai Lowassa???
Huyu mleta mada ni muumini wa Lowassa, hana jipya.
 
Katika kipindi cha asubuhi hii cha clouds360 Nape Mosses Nnauye amekiri haya "CCM ni chama chenye document nyingi zaidi lakini hakina utekelezaji".

Tafsiri ya Maneno haya ni sawa na ya Edward Lowassa aliyoyasema katika bunge kwa serikali ina uzito wa utekelezaji wa walio kubaliana yaani maamuzi.

Hivyo Nape Nnauye ni mhubiri wa siasa za Maamuzi Magumu ambazo kwa sasa zinaongozwa na Edward Lowassa lakini tatizo tuu ni kiburi chake cha kukimbia kivuli chake.

Chanzo: clouds360 16/02/2014.

Unajidhalilisha na kukidhalilisha chuo chako ulichosoma, maana tutaamini huu ndio uwezo wako wa kufikiri, unataka kumtumia mpaka nape ili umkubalishe lowasa??
 
Nguvu alizotumia EL kufikia ndoto yake ni kubwa kiasi kwamba hata akipata uraisi atakua amechoka kiasi hata weza kufanya kazi iliyo nzito zaidi ya kuwaletea maendeleo wananchi. Kwa kifupi hiingii akilini mtu anawezaje kutumia nguvu kubwa hivyo kwenye "rehersal" kiasi akifika kwenye "show" yuko hoi
 
Lowasa siyo mchafu bali nape ana ugomvi wa kihistoria na Lowasa pia jimbo ambalo membe analompa kule mtama linamfanya Nape aweweseke
Ni ujinga kuamini kuwa mchafuzi wa Lowassa ni Nape, mtoto wa juzi, Lowassa na mchafu tangu enzi za Mwalimu.
 
Kwa miaka takribani kumi nchi imekuwa ikiendeshwa kwa outo pilot.. yaani kila anayepaswa kutoa maamuzi magumu anabakia kumlaumu mwenzie.

Serekali inalalamika
Wananchi wanallamika
Vyama vya siasa vinalalamika
Vyama vya wafanyakazi vinalalamika
Bunge lina lalamika
Mahakama imegeuzwa refarii

TUNAJUA MH. EDO ALOKUMBWA NA KASHFA.. TUNAJUA KUWA ALIJITOA PEMBENI KUEPUKA MSONGAMANO.. JE NI YEPI YALOTHIBITIKA SO FAR YANAYO MU INCRIMINATE?

MBONA HAJAWAHI SHITAKIWA KAMA MAWAZIRI WENGINE WALOPITA?

NCHI INAHITAJI MAAMUZI MAGUMU..
WANANCHI WANAHITAJIKA SASA KUACHA KULALAMIKA.. KUANDAMANA NA KUPIGANA NA POLISI NA BADALA YAKE WAKAITUMIE KURA YAO KUWEKA VIONGOZI WENYE MAAMUZI MADARAKANI

FRO WHAT ITS WORTH I SAY LETS PUT HIM THERE AND SEE.... ENOUGH IS ENOUGH
 
For WHAT ITS WORTH I SAY LETS PUT HIM THERE AND SEE.... ENOUGH IS ENOUGH
 
Ni ujinga kuamini kuwa mchafuzi wa Lowassa ni Nape, mtoto wa juzi, Lowassa na mchafu tangu enzi za Mwalimu.

Na nape kama quote Mwalimu--"Msinilete mtu wa kuosha na dodoki..." na akaletewa Jina la Benjamin Mkapa
 
Kwa miaka takribani kumi nchi imekuwa ikiendeshwa kwa outo pilot.. yaani kila anayepaswa kutoa maamuzi magumu anabakia kumlaumu mwenzie.

Serekali inalalamika
Wananchi wanallamika
Vyama vya siasa vinalalamika
Vyama vya wafanyakazi vinalalamika
Bunge lina lalamika
Mahakama imegeuzwa refarii

TUNAJUA MH. EDO ALOKUMBWA NA KASHFA.. TUNAJUA KUWA ALIJITOA PEMBENI KUEPUKA MSONGAMANO.. JE NI YEPI YALOTHIBITIKA SO FAR YANAYO MU INCRIMINATE?

MBONA HAJAWAHI SHITAKIWA KAMA MAWAZIRI WENGINE WALOPITA?

NCHI INAHITAJI MAAMUZI MAGUMU..
WANANCHI WANAHITAJIKA SASA KUACHA KULALAMIKA.. KUANDAMANA NA KUPIGANA NA POLISI NA BADALA YAKE WAKAITUMIE KURA YAO KUWEKA VIONGOZI WENYE MAAMUZI MADARAKANI

FRO WHAT ITS WORTH I SAY LETS PUT HIM THERE AND SEE.... ENOUGH IS ENOUGH

hapo kwenye red unataka kunichekesha,yani nyinyi ccm mshaitakiane?wakina mramba ni danganya toto tu,hakuna kesi pale.Subiri nchi ikishikwa na wazalendo ndo utajua nini maana ya kesi za wezi wa ofisini.
 
Unasikiliza peke yako? kasema CCM Haihitaji mtu wa kuoshwa na dodoki ni nani mchafu kama sio Edward Ngoyai Lowassa???

Hujielewi kwa sababu hauijui tafsiri ya jicho la tatu
 
Nguvu alizotumia EL kufikia ndoto yake ni kubwa kiasi kwamba hata akipata uraisi atakua amechoka kiasi hata weza kufanya kazi iliyo nzito zaidi ya kuwaletea maendeleo wananchi. Kwa kifupi hiingii akilini mtu anawezaje kutumia nguvu kubwa hivyo kwenye "rehersal" kiasi akifika kwenye "show" yuko hoi

Edward ni kimbilio la wanyonge...
 
Nape hana jipya, Ngonjera nyingi wakati CCM inaharakisha Mauaji ya Raia, Tembo na hata wakati mwingine kutorosha wanyama hai kuwapeleka ughaibuni kwa ujira wa mwiha!!! CCM wanaishia kuzalisha Movie za kigaidi... eti V8 zinakwenda mstari wa mbele wa Vita!!! Grrrrr Mikataba ya Madini yenye kuwanufaisha mabwana zake Nape kamwe hazungumzii bali anahangaika na Lowassa kwakuwa tu Membe alimpa ukuu wa Wilaya!! Trillions zilizoko Uswis Plus kifo cha Balozi wa Libya kuliko ratibiwa na Boss wake hawezi kuzungumzia kamwe... Waachweni wananchi maana tayari wanatabika kwa maisha magumu ya kuletewa na CCM maslahi ... Nape atuambia hapa kipi CCM imefanikiwa baada ya kufuata siasa za UKUWADI? ...
 
Back
Top Bottom