Umejiuliza na kujijibu mwenyewe gambaNiliwaulimuuliza mmoja wa waalimu kama wameshinikizwa kuhudhuria mazungumzo hayo, akaanza kwa kunishangaa...." hivi mtu mzima anaweza lazimishwa kuja hapa?!! Sisi watu wazima TUMEOMBA WENYEWE KUKUTANA NA MWENYE SERIKALI AMBAYE NI CHAMA TAWALA, TUMWELEZE YANAYOTUKERA... hakuna aliyelazimishwa"
Nashauri si busara kabisa kubeza hizi juhudi za magamba za kurudisha imani ya watu mbalimbali nchini kwao. Leo Mafinga Nape amekutana na waalimu zaidi ya 360 na amekuwa na amzungumzo nao kwa muda mrefu sanaaa! Juhudi hizi zitaturudisha nyuma sana kwenye ukombozi wa nchi tuwe macho na huyu.dogo!