Nape na propaganda redioni

Safi sana! kuna jamaa amemchana damu chafu...
Haya ndo mnayoyapenda wana CDM ''negativity'' baada ya kupofuka kwa dhana ya ''majestice opposition is to oppose basi''.Ukweli ni kuwa dogo anauwezo mkubwa na sisi wenye akili zetu timamu tunamkubali kwa facts.

Yuko strategically katika reforms huku Mkama akijiandaa na makubwa zaidi.Songa dogo we need men like you katika uenezi,we have seen your progress hasa kwa kutoa shule na idadi ya new members within short period of time.
 
ana ukaptura huyo pamoja na wewe apocalypto unahitajika dodoma haraka iwezekanavyo
 

Sikujua na wewe hueleweki. Ubaya wa kutoeleweka ni hapa "na sisi wenye akili zetu timamu" maana yako ni kuwa sisi ambao si wa magamba akili zetu si timamu. Usipoomba msamaha utathibisha uwezo wa akili zako.
 
Hakuna Chama makini Cha Upinzani Kitachokufa!
Tatizo Nape Mzimu wa CCJ Iliomfia Mkononi ndio Mnamtesa!Na sasa CCM itamfia Mkononi!
 
Huyu dogo anabwabwaja! eti vyama vya upinzani vitakufa! hivi anafikiria kuwa kutumia nini? Sasa nimeelewa kwa nini JF wamejaa hawa jamaa, NAPE anasema wazi kwamba anawatuma kukutana na vijana wenzao kwenye mitandao!

Atoke napumba zake kwenye mitandao ndoatakako tuletea maisha bora kwakila mtanzania?

Anaacha kupambana na mafisadi anafikilia kupambana jf

namshauli simuda wapolopaganda waangalie kelo za watz KATIBA kupanda kwa gharama za maisha elim majii barabala umeme madawa hsp kusimamia maliathili ajira nk

Wtz kwasasa hawadanganyiki waache wajisahau kwenye mitandao cdm itaendelea kujijenga polisi mahakama mitandao ccm msipo vitumia vizuli vitawasambalatisha

Atakisu unaweza ukakimiliki kwa matumizi ya jikoni siku ukikosea matumizi unakatwa kidole

Kinga ya kuendelea kuwepo madalakani kuwatendeya haki wtz wote sipolisi wara mahakama au jf au uongo kwamba cdm wanataka kuleta vita wana jeshi? ivi hao polisi wanao uwa raiya ni wacdm? Au wanatumiwa na ccm acheni unafiki

wengi tumekosa elim chakura mulo mmoja kutwa hatupendi kunyowa vipara majii shida ukipata ni yachumvi umba vicwani usipime mahasila usiseme migu matege kupanda gali nikwenda makabulini watu tunapigika daradala unapanda kwa ndoto sivingine
 
Limbukeni huyu NAPE anafikra mgando ,hana ipya na wenzake CCM,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
 
wakati ccm imepoteza mvuto miongoni mwa wananchi na vyama vya upinzani vimeonekana kukubalika kwa kasi kubwa wewe ndio unadai ndio vinakwenda kufa ?? Nape jaribu kufikiri angalau kidogo kabla ya kuanza kuropoka angalau uwe na base ya ku make argument yako.
 
Dah anatia kinyaa sana, hebu tupeni Age yake tutathimini anayoongea yanaendana na umri wake, au ndo akili zimeanza kutofautiana na umri wake (Uzee). Nimesikitika sana kwa bahati mbaya nilipo tune Clouds Fm alikuwa live, anashindwa kujenga hoja na kuongelea chama chake, yeye ni Chadema, Chadema, Mshahara wa Dr. Slaaa , Dr. Slaa.

Sasa hii ni nini jamani mbona aibu sana, ni mtanzania yupi anahitaji kusikia utumbo wa namna hii. Tumekosa mambo muhimu ya kujadili hasa anayotutatiza kila siku, na badala yake tumeona haya ndiyo wananchi wanahitaji kusikia? Wapembe wake chonde chode jamani mshaurini huyu bwana mkubwa wenu, anatia aibu na watu makini wameshaona ni pumba tupu anazo mwaga sasa. Please help, hakisaidii chama bali ndo anakipoteza jumla....

Poleni sana.
 
tumbo mtupu. Nataka aanze ziara ya Arusha na Mza wakamvue magamba vizuri
 
nape mlimani tv kasababisha kada wa cdm kusema " nape anamvutia kufikiria kurudi ccm"
 
Nape ameingia vibaya katika madaraka yake haya mapya.

Walio makini ndani ya CCM watakuwa wameshaliona hilo na watachukua hatua zinazofaa ili kukiweka chama katika hali ya kiushindani zaidi kuelekea 2015.
 
Kwa bahati mbaya nami nilimsikiliza,

Kuna swali aliulizwa kamba, je kuna wazo zuri ambalo upinzani walikianzisha na chama tawala kikalichukua? kwani upinzani nao wana mawazo bora kwa maendeleo ya Taifa. Dogo akaniacha hoi sana na nikajua kuwa ni zero pale aliposema kwamba, hata uwepo wa vyama vingi ulianzishwa na ccm, kwani wakati huo wabunge wote walikuwa ccm. Yeye alishindwa kujibu swali la msingi la jambo gani zuri toka upinzani ambalo chama tawala kimewahi kuchukua?

Nikamuhurumia sana yule dogo............
 
Nilishasema, Nape ni BOGUS na ndiyo maana alienda kusoma INDIA undergraduate kwa vilaza wenzake!
 
nilimuuliza nape .... je yeye ni patriot au parrot ...? hakunijibu

ccm imeendelea kuwa na viongozi wasio na desturi ya kutafakari......!
 
Nami jibu lake hili lilinishangaza sana. Anadhani sote hatukuwepo kuona mfumo wa vyama vingi ulivyoanza nchi hii. Anasahau mchango wa Mwalimu,siasa za Dunia zilivyokuwa wakati huo na kama CCM ilikuwa na chaguo mbadala wa hilo la kukubali vyama vingi! Tutakapo pata KATIBA mpya nalo atasema ni kazi ya CCM.
 
Huyu NAPE, ni mwehu anamatatizo ya akili jamani,kawatuma watu wa MAGAMBA waje wapambane jamii forum
 
Hivi bado watu wanamjadili Nape, mbona ilishakuwa concluded kwamba Nape amechanganyikiwa na kwamba hakuna haja ya kupoteza muda kumjadili mtu anaetakiwa akalazwe hospitali ya vichaa.
mti wenye maembe ndio hutupiwa mawe.
nape kawashika chadema pabaya ndio maana vilio vingi.

mmoja wapo huyu kama anamdharau nape angesoma post hii.

nape kazi yako inaonekana chadema umewakamata pabaya na chozi linaanzakuwatoka.
endelea kuminya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…