Nape na Bash..

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
46,305
Reaction score
98,242
hapa ni Nape na Bashe..hebu itafakari hii picha japo kdg tu
 

Attachments

  • nape na bashe.jpg
    35.5 KB · Views: 149
Hivi jamani tuelezeni na huyu Bashe ni nani..... maana nasikia bashe bashe....samahani lakini wengine wageni katika siasa
 
Jamaa anajiandaa kumzaba kofi la dharau Nape.
 
NApe huyuhuyu ndy anakunywa maji nya kilimanjaro?....atakuwa ameminyia kiroba!
 
Anamshangaa jamaa anavyo payuka bila kutumia busara, mambo mengi anayo yaongea, baadaye huonekana ni upuuzi
 
Inaonekana siyo marafiki kabisa, hata kuzuga imeshindikana:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…