Panga la Nape limetua kwa mfupa,... watapayuka sana mwaka huu BWANA wao MTUME LOWASA
aliyeahidiwa URAIS kama haki yake ya kuzaliwa, anaelekea kupotezwa kisiasa.
NEC ijayo lini Chama Kipasuke tujue moja?...Tumechoka maigizo. "Upinzani wa kweli utatokea CCM" -
Ni utabiri unaokaribia kutokea. 2015 Kutakua na CHADEMA, CCM A na CCM B, safi sana... na marehemu CUF!