K kidodosi JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 2,358 Reaction score 1,480 Mar 10, 2014 #101 Double K said: Alafu huo mkono mmoja ni gloves au??????? Click to expand... Kama kagiza hv.
tofali JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 4,010 Reaction score 3,422 Mar 10, 2014 #102 bategereza said: Nape. sikuhizi wenzio hawaoi mpaka mama aanze kutapika na kula ndimu. mbona sioni dalili hapa ? Click to expand... Huyu mwanamke atakua kesha zaa mbona km bibi....usikute alienda kubariki tu..ndoa ilishafungwa kimila enzi za mkapa lol
bategereza said: Nape. sikuhizi wenzio hawaoi mpaka mama aanze kutapika na kula ndimu. mbona sioni dalili hapa ? Click to expand... Huyu mwanamke atakua kesha zaa mbona km bibi....usikute alienda kubariki tu..ndoa ilishafungwa kimila enzi za mkapa lol
L liwamba Senior Member Joined Nov 20, 2012 Posts 143 Reaction score 25 Mar 10, 2014 #103 mbona kama bibi harusi anaonekana hamnazo..!
K kidodosi JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 2,358 Reaction score 1,480 Mar 10, 2014 #104 bategereza said: Nape. sikuhizi wenzio hawaoi mpaka mama aanze kutapika na kula ndimu. mbona sioni dalili hapa ? Click to expand... Ana kijana mkubwa!
bategereza said: Nape. sikuhizi wenzio hawaoi mpaka mama aanze kutapika na kula ndimu. mbona sioni dalili hapa ? Click to expand... Ana kijana mkubwa!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Mar 10, 2014 #105 I think this is photoshop..!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Mar 10, 2014 #106 Double K said: Alafu huo mkono mmoja ni gloves au??????? Click to expand... Mkorogo umedunda upande mmoja.
Double K said: Alafu huo mkono mmoja ni gloves au??????? Click to expand... Mkorogo umedunda upande mmoja.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Mar 10, 2014 #107 Duu akili hata haipo Kwenye harusi anawawaza Lissu tu hahhhahhha
P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 450 Mar 10, 2014 #108 kidodosi said: Ki ukweli harusi ilikuwa safi sana japo sijashiriki lakini picha inajieleza kabisa. HONGERA SANA!!! Click to expand... Nnnnnhhhhhhhhhhhhh Comed? Utani uliokithiri ......
kidodosi said: Ki ukweli harusi ilikuwa safi sana japo sijashiriki lakini picha inajieleza kabisa. HONGERA SANA!!! Click to expand... Nnnnnhhhhhhhhhhhhh Comed? Utani uliokithiri ......
K kidodosi JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 2,358 Reaction score 1,480 Mar 10, 2014 #109 liwamba said: mbona kama bibi harusi anaonekana hamnazo..! Click to expand... acha wivu wewe !!!!
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,465 Reaction score 45,041 Mar 10, 2014 #110 bategereza said: Nape. sikuhizi wenzio hawaoi mpaka mama aanze kutapika na kula ndimu. mbona sioni dalili hapa ? Click to expand... vijana waharibifu sana nyie, kuonja onja kabla kujakabidhiwa rasmi Mwenyezi Mungu hapendi
bategereza said: Nape. sikuhizi wenzio hawaoi mpaka mama aanze kutapika na kula ndimu. mbona sioni dalili hapa ? Click to expand... vijana waharibifu sana nyie, kuonja onja kabla kujakabidhiwa rasmi Mwenyezi Mungu hapendi
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,465 Reaction score 45,041 Mar 10, 2014 #111 tofali said: Huyu mwanamke atakua kesha zaa mbona km bibi....usikute alienda kubariki tu..ndoa ilishafungwa kimila enzi za mkapa lol Click to expand... utaambiwa ngombe hazeeki maini.
tofali said: Huyu mwanamke atakua kesha zaa mbona km bibi....usikute alienda kubariki tu..ndoa ilishafungwa kimila enzi za mkapa lol Click to expand... utaambiwa ngombe hazeeki maini.
mimixoxo Member Joined Jan 7, 2011 Posts 40 Reaction score 11 Mar 10, 2014 #112 Kwa uelewa wangu Nape alishaoa siku nyingi na pete alikuwa anavaa, sasa sijui huyu ni mke mwingine au walifunga bomani, wadau wenye data mtujuze
Kwa uelewa wangu Nape alishaoa siku nyingi na pete alikuwa anavaa, sasa sijui huyu ni mke mwingine au walifunga bomani, wadau wenye data mtujuze
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,410 Reaction score 14,119 Mar 10, 2014 #113 Mwana Mtoka Pabaya said: Ina maana baada ya muda tutemegee kuzaliwa kwa kafisadi kadogodogooooo....hongera zake mheshimiwa Nape. Ila ushauri wangu asipeleke siasa kwa binti wa watu., hapo nitamchapa viboko Click to expand... Acheni ubaradhuli, mbona hamkuseema Dr alizaa kabakaji kadogo kadogo ka wake za watu!!!!!
Mwana Mtoka Pabaya said: Ina maana baada ya muda tutemegee kuzaliwa kwa kafisadi kadogodogooooo....hongera zake mheshimiwa Nape. Ila ushauri wangu asipeleke siasa kwa binti wa watu., hapo nitamchapa viboko Click to expand... Acheni ubaradhuli, mbona hamkuseema Dr alizaa kabakaji kadogo kadogo ka wake za watu!!!!!
SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,615 Reaction score 929 Mar 10, 2014 #114 sasa binti ataitwa Mrs nani? kwa sababu Moses Nauye siyo baba yake Nape au Nepi
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Mar 10, 2014 #115
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Mar 10, 2014 #116 Hawa wanafamilia waliotajwa hapa walihudhuria?
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,382 Mar 10, 2014 #117 engmtolera said: Khakha said: Nape kamanda mnyika ulimwalika?[/QUOTE Zamu ya mnyika sasa Click to expand... Huyo haoi kwa sasa mpaka chadema iingie madarakani. Click to expand...
engmtolera said: Khakha said: Nape kamanda mnyika ulimwalika?[/QUOTE Zamu ya mnyika sasa Click to expand... Huyo haoi kwa sasa mpaka chadema iingie madarakani. Click to expand...
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,993 Reaction score 132,366 Mar 10, 2014 #118 rais mtarajiwa wa tz via ccm.....ndomana kaamua kuoa.....
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,410 Reaction score 14,119 Mar 10, 2014 #119 Safari_ni_Safari said: Hawa wanafamilia waliotajwa hapa walihudhuria? Click to expand... Tupe uhusiano wa Nape na Moses Nnauye hapo ndo tutaelewa swali lako.
Safari_ni_Safari said: Hawa wanafamilia waliotajwa hapa walihudhuria? Click to expand... Tupe uhusiano wa Nape na Moses Nnauye hapo ndo tutaelewa swali lako.
Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Mar 10, 2014 #120 Ckuzote mkuu alikua ajaoa