Hiyo picha inanipa maswali na majibu mengi na inanipa hisia nyingi: Nape haonekani kuwa na furaha kama mke wake; ama mawazo yake yako Kalenga kwenye uchaguzi mdogo, au yako Chalinze, akiwaza na kuwazua namna ya kuuaminisha umma kuhusu uteuzi wa mtoto wa Mwenyekiti wake, au anaifikiria Chadema, kama sio JF.
Hongera kijana Nape kwa kufungwa pingu za maisha.
inasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu
huyo jamaa alishaoa, tena wakati akiwa hana kitu alihifadhiwa na baba mkwe wake Changanyikeni baada ya mambo kuanza kuwa mazuri akamtelekeza mke wake, nae akaamua kwenda nje ya nchi kujisahaulisha na kadhia za huyo jamaa.