Kwa hatua iliyofikia inaonesha wazi viongozi wa CCM wanawahadaa wanachama, Ndugu yangu Nape juzi alisema Lowassa hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi (10) Lakini ni Lowassa huyu huyu aliyekuwa waziri mkuu chini ya utawala wa CCM,Sasa balozi wa nyumba kumi na waziri mkuu nani mwenye majukumu mengi?