<br /> <br / sijamwona Moshi lbd alienda vijijini,we hujui kelele zake zilikua kwa mapacha 3, RA kajiengua, CHENGE kasema hajiuzulu hadi Lowasa ajiuzulu na lowasa kasema hajiuzulu hadi wamfukuze na na na anamwogopa lowasa ile mbaya, hathubutu kumwambia kitu chochote, bosi wake anamlamba miguu RA kuomba msamaha na kuomba amsaidie kampeni ingunga. ATAONGEA NINI??Mbona wiki iliyopita nilisikia alikuwa hapo Kilimanjaro? Na kulikuwa na tetesi ya kwmb ata2au Arusha mjini? Na baada ya hapo ata2a kwa EL hapo Monduli. Mwenye tetesi atujuze alipo.
Ile nguvu ya Nape aliyoanza nayo mara baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM inazidi kufifia siku hadi siku, tuliambiwa atakapomaliza kufanya maandamano na mikutano mkoa wa Kilimanjaro atahamishia majeshi yake mkoa wa Arusha nashangaa hadi leo sijasikia kama yuko Arusha ama la mwenye taarifa yake tafadhali.
Kuna tetesi kwamba magamba wamegundua nape anaendelea kuimarisha u CCJ kwa mgongo wa ccm kama alivyo onekana na timu nzima huko mbeya,hence amepigwa stop!-Wenye chama chao wa bishe(MAGAMBAZ!)Ile nguvu ya Nape aliyoanza nayo mara baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM inazidi kufifia siku hadi siku, tuliambiwa atakapomaliza kufanya maandamano na mikutano mkoa wa Kilimanjaro atahamishia majeshi yake mkoa wa Arusha nashangaa hadi leo sijasikia kama yuko Arusha ama la mwenye taarifa yake tafadhali.
<br />NAPE,mziki aliokuwa anaucheza ulikuwa sio saizi yake
Mzee wa ratiba za Nape vipi tena leo hutaki atajwe wakati wewe ndiye mleta ratiba zake check hapa chini....vipi January ulisema leo atakuwa Igunga amefanikisha.Hivi hapa bila kumtaja nape watu hawaridhiki?
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
<br />Mzee wa ratiba za Nape vipi tena leo hutaki atajwe wakati wewe ndiye mleta ratiba zake check hapa chini....vipi January ulisema leo atakuwa Igunga amefanikisha.