Mkuu walikuwa amehakikishiwa kwa jua na mvua atapitishwa.Kulamba matapishi ni kawaida Mkuu atawatafuta wazee Fulani atasema wamemfuata kumuombs arejee
humjui Kikwete vizuri. ukitaka kumjua vizuri wauliza rostam, sitta na lowassa watakuambia jamaa ni nani. chezea kijana aliyezaliwa pale kariakoo weye.Naamini hata mkuu ameumizwa. Naamini magufuli sio chaguo lake.
Aende jimbo la mpunga.