Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
NAPE ameshajipashika uenyeji na ukazi wa LINDI,ili aweze kugombea Jimbo la MTAMA. ili CCM iendeleze umoja na mshikamano lazima NAPE akatwe akichukua form ya kugombea ubunge ya jimbo la MTAMA (MKOANI LINDI)
sababu za kukatwa zinafanana na za EDO
-Nape ameleta mganyiko KATIKA CHAMA,badala ya umoja na mshikamano
-Jimbo litakosa maendeleo kwa kukosa ushirikiano wa pamoja,kama lilivyokosa sasa,MTAMA iliomba kuwa wilaya na ilikua ahadi ya MEMBE lakini kutokana na Membe kutokakuwa na ushirikiano na HAWA GHASIA wameshindwa kuipa wilaya MTAMA, Leo Nanyamba imepewa hadhi ya wilaya, wakati haifikii MTAMA ki uwezo,utagundua ushirikiano ni MUHIMU