Muongo wewe..niambie Upo kata gani??Tupo nae huku kwenye Jimbo la pm
Hana jipya yani huku ni mabendera ya chadema tu yanapepea
Jamaa walibadili tarehe ya kuanza kampeni baada ya kuona hamna watu na chedema wanasepa na kijiji kila siku nyomi naona ccm ndiyo wameamua kuanza juzi nape tunae huku nandagala kata ya nnacho nyumbani kwa pm.
Kwa taarifa fupi anaegombea udiwani Kata hii kupitia ccm alikua mgombea udiwani kupitia chadema mwaka 2015 ambae alizidiwa kura 14 na diwani wa ccm ambae alitangazwa kushinda na sasa hatunae tena duniani
Kwa hiyo mgombea udiwani huyo ambae alikua wa chadema ashanunuliwa na sasa anagombea kupitia ccm
Ila chadema wamesimamisha chuma kingine ni sheeda...!!!
Aje tumuaibishe. Mchawi anataka kuja kwenye mazishi!!! Ni pia tuAmetweet kwenye ukurasa wake kuwa anatarajia kukitetea chama chake katika kinyang'anyiro cha udiwani katika mikoa ya Kusini.
Hahahaaaa, sasa hivi hana jipya tena!!Hana jipya huyo, baadaye atajisifu ameitoa ccm Shimoni bora wasimruhusu kwenye kampeni
Ajuza Polepoleee yuko wapii simsikii kabisaaAmetweet kwenye ukurasa wake kuwa anatarajia kukitetea chama chake katika kinyang'anyiro cha udiwani katika mikoa ya Kusini.

Hao Ndo ccm yenyewe . All the brotherAmetweet kwenye ukurasa wake kuwa anatarajia kukitetea chama chake katika kinyang'anyiro cha udiwani katika mikoa ya Kusini.
Kwani bendera ndio zinazopiga kura mkuu?Hana jipya yani huku ni mabendera ya chadema tu yanapepea