KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Mbona unasomeka! Maana sasa hivi hakuna aibu kubwa kama mtu kujitangaza kwamba ni MwanaCCM, unless uwe kiongozi ndio unajikuta huwezi kujificha, sisi wenye akili zetu tumekuelewa Mkuu hatutamwambia mtu kwamba wewe ni Gamba.
Kushinikiza Lema kutema jimbo la Arusha unaona ni kitu kidogo! Wewe ni Nape Boys unalipwa kiasi gani, maana mko wengi hapa kulinda maslahi ya boss wenu?Si kama hivi mnavyokuwa busy kukariri kila analoropoka hata akiwa choon?!Mnaacha ku deal na watu kama lowassa ambao ndio washindani wenu uchaguzi ujao mnadeal na mtu mdogo kama Nape!
Si kama hivi mnavyokuwa busy kukariri kila analoropoka hata akiwa choon?!Mnaacha ku deal na watu kama lowassa ambao ndio washindani wenu uchaguzi ujao mnadeal na mtu mdogo kama Nape!
CCM kwa kujifanya hawana cham bwana! Anawapatia nn? Tigog au?Nape anawapatia kweli chadema nimeamini,maana kwa jinsi anavyowashughulisha mpaka mnatia huruma;ndio maana mimi sina chama naangalia sera zipi zinanivutia kutokana na wakati uliopo ndio napiga kura!ndio maana niko huru kusema chochote na kumgonga yeyote kutoka chama chochote nikihisi anachemka....
Anafanya kazi aliotumwa na wakubwa zake, kama hatumwi kwani tangu alivyoanza kuropoka kuna hatua zipi walizomchukulia zaidi ya kumsifia kijana anafanya kazi vizuri.
Waendelee hivyohivyo wanasema usimwamshe aliolala........! sasa waacheni wakizinduka tayari kumekucha
CCM kwa kujifanya hawana cham bwana! Anawapatia nn? Tigog au?
Chochote watakachofanya Arusha ni bure CCM kamwe haitakaa ishinde uchaguzi hapo........
Kushinikiza Lema kutema jimbo la Arusha unaona ni kitu kidogo!!!!!!!!Wewe ni Napi Boys unalipwa kiasi gani, maana mko wengi hapa kulinda maslahi ya boss wenu???????
kweli tuna kazi kubwa ya kuiondoa ccm madarakani,huyu bado anawaza arusha!!!what is arusha brother kwa li nchi likubwa kama tanzania???kama kweli tunataka kuing'oa ccm madarakani we need to think more than arusha na moshi!huo ndio ukweli otherwise tutaishia kushinda Hai,moshi,mjini na arusha tena mjini sio monduli wala simanjiro!
Mbona unasomeka! Maana sasa hivi hakuna aibu kubwa kama mtu kujitangaza kwamba ni MwanaCCM, unless uwe kiongozi ndio unajikuta huwezi kujificha, sisi wenye akili zetu tumekuelewa Mkuu hatutamwambia mtu kwamba wewe ni Gamba.
Nani kakwambia Simanjiro ni Arusha wewe! Man'gaa
Sasa hivi sungura anafukuza mbwa kwenye windo. Ata viongozi wa CCM akiwemo president wanazomewa. Ukiwa mlalahoi ndo unachekwa hadi kutengwa mtaani. Huko Mara usingae kuona mbwa kavalishwa tshirt ya ccm
kuna watu ni timamu lakini wagonjwa kweli nimekubali, lo!
Nape anawapatia kweli chadema nimeamini,maana kwa jinsi anavyowashughulisha mpaka mnatia huruma;ndio maana mimi sina chama naangalia sera zipi zinanivutia kutokana na wakati uliopo ndio napiga kura!ndio maana niko huru kusema chochote na kumgonga yeyote kutoka chama chochote nikihisi anachemka....