Nape katua Arusha, kapokelewa kishujaa!

Ilitakiwa iwe hivi:
NAPE AZOMEWA KISHUJAA ARUSHA
Mimi kunakitu kimoja ambacho huwa najiuliza nyie vijana wa bavicha mbona mnalazimisha kila mtu akija arusha azomewe siasa gani hizo sasa.
 

Pamoja na ushabiki wako kwa ccm (kwa kupenda au vinginevyo kwa sababu njaa imepanda kichwani) jitahidi basi kuangalia muktadha (context) wa hoja yako. Uchaguzi unaotarajiwa ni wa madiwani na sio ubunge, lakini wewe uko busy unazungumzia 'bye bye Lema' mara 'kumzika Lema'.

Lema ni kiongozi wa CDM, hivyo anawajibika kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake kama ambavyo Nape, Mwigulu na viongozi wengine wa CCM wanavyopigia kampeni wagombea wa chama chao. Je, CCM ikishindwa kwenye kata yoyote kati ya hizo au hata zote, tuseme Nape au Mwigulu wamezikwa?? tafakari!
 

....poti nekage ng'onoyo nsanzi sagara gete !!!
 
kwanini unaitwa mzalendo K?......
k? mmmmmmh namashaka na wewe!
Ukitaka kujua tafsiri ya "K" nenda lile jukwaa la chini kabisa kama una access nami.
 
Tunamsubiri kama ataenda Monduli na akutane na Lowasa anaemtukana kila siku!tunamsubiri!mwenzake Nchemba ambae ni mtiifu kwa EL hana wasi anakatiza tu anakula posho zake siku zinasonga!huyu Napelaga sasa!
 

Safi sana we ndo unatupa habari za kueleweka
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…