Nape katua Arusha, kapokelewa kishujaa!

Nape ana nyota ya kukubalika, hili limesha tokea mara kadha nyakati za nyuma huko.

CCM ikipoteza mvuto mahali, basi Nape akikanyaga tu, mambo yana jirudi.
 
Nilikuwepo mkutano wa kimandolu wa chadema wacha uwongo!
Nape alikuwa na wamama wapambe kama kumi na wahudhuriaji kama 30 tu!
Mwigulu aliukimbia mji baada yakuona una wenyewe, Nape naye ataondokea hivyo hivyo!

Mbaya zaidi kwa ccm kesho Lwakatare anatua Arusha kumwaga ya moyoni!

CCM bye bye arusha ina wenyewe!

CHADEMA yatosha!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hata hvyo ccm hawajiamin sijawah ona tangu uhuru ccm wakìhaha kwenye kampani za udiwani kama mwaka huu, hii inaonyesha jinc mlivyo sikwa pabaya polen sana gambazi!
 

ah ah ah...hili ni tatizo la mtu anayeweweseka baada ya kutumia bia ijulikanayo kama KINANA lager ya baridi.
TENA YULE KINANA JANGILI ANAYELINDWA NA SERIKALI KWA KUWA TU NI KIONGOZI WA CHAMA FISADI CHAMA CHA MAPINDUZI.. CCM..
 
Du jamaa unashangaza tupe bac hata picha tuone tangu lin A-Town wameanza kusukuma Gar za cc-em
 
Du jamaa unashangaza tupe bac hata picha tuone tangu lin A-Town wameanza kusukuma Gar za cc-em

Waombe radhi wana jf
 
HII ndo CCM imewafanya wanakosa watu makini kama wa kuwafuata na kuwasikiliza....UONGO CCM wanaendesha chama chao kwa UONGO....viongozi WANADANGANYA....wakereketwa na wanachama WANADANGANYA....Kimekua chama cha WAONGO....Wanataka kugeuza nchi ya wasema UONGO...na wasipoangalia CHAMA KITAKUFA KABISA
 
Ah haaa! Wamekupa shilingi ngapi? Tutaona atakavoongea pumba itakuwaje. Je mbona haukuuliza jamaa walilipwa kiasi gani kusukuma gari?
 
Kila siku anatukana watu anaowaita Kanda ya Kaskazini.Leo kafuata nini huko?

Hatumtaki Nape huko kwetu anatutukana kila siku. Aende zake Singida au Mbeya kama anaweza.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
yani hapo ndiyo watu tunashindwa kuelewa yani sie me bongo bwana? sasa kwa nn mnatunga story wakati sisi humu ni jamii moja? kwa nini tusifanye siasa safi? yani anaeshindwa akubari na aseme kwa nn ameshindwa na siyo propaganda ambazo hazijengi hasa kwetu sisi ambao hatupo huko kwa wakati huo.
 

Nimemkumbuka sana aliekua Waziri wa Habari wa Iraq Bw. Al-Sahaf.
 
Naona vijana wameanza kujitambua na kumshtukia Kubwa Ji..a
 
kwanini unaitwa mzalendo K?......
k? mmmmmmh namashaka na wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…