Miwatamu JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 1,450 Reaction score 492 Nov 24, 2012 #1 Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania. Sasa tujiule, kati ya mtengeneza mikakati (sera) na mtekelezaji nani anayemuongoza mwenzake?
Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania. Sasa tujiule, kati ya mtengeneza mikakati (sera) na mtekelezaji nani anayemuongoza mwenzake?
M MwangwaJr2 Member Joined Jun 29, 2011 Posts 55 Reaction score 9 Nov 25, 2012 #2 "Baba anatafuta pesa ya chakula mama anapika ili watoto wale" kwa hvyo mtafutataji(mtengenezaji) siko zote ndio mtawala
"Baba anatafuta pesa ya chakula mama anapika ili watoto wale" kwa hvyo mtafutataji(mtengenezaji) siko zote ndio mtawala
A Asa79 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2012 Posts 592 Reaction score 163 Nov 25, 2012 #3 cuf imeolewa na ccm
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Nov 25, 2012 #4 mwangwa said: "Baba anatafuta pesa ya chakula mama anapika ili watoto wale" kwa hvyo mtafutataji(mtengenezaji) siko zote ndio mtawala Click to expand... Ni kwelo kabisa MV4 wameiga kwa Vuguvugu la Kijani. Bei ya vifaa vya ujenzi nao wamependekeza ishushwe kama ilivyokuwa sera ya CDM.
mwangwa said: "Baba anatafuta pesa ya chakula mama anapika ili watoto wale" kwa hvyo mtafutataji(mtengenezaji) siko zote ndio mtawala Click to expand... Ni kwelo kabisa MV4 wameiga kwa Vuguvugu la Kijani. Bei ya vifaa vya ujenzi nao wamependekeza ishushwe kama ilivyokuwa sera ya CDM.
Ronal Reagan JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,298 Reaction score 3,060 Nov 25, 2012 #5 Siwaoni pro-magamba hapa kujibu hili swali, au hawajapata mwaliko? Mods msaada tafadhali ili Nape aje hapa kujibu swali ndipo tuendele kuchangia.
Siwaoni pro-magamba hapa kujibu hili swali, au hawajapata mwaliko? Mods msaada tafadhali ili Nape aje hapa kujibu swali ndipo tuendele kuchangia.
DALLAI LAMA JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 8,652 Reaction score 2,642 Nov 25, 2012 #6 Umeandika utumbo tupu,hueleweki we gamba