Nape Kapotelea Wapi?

wewe 'gamba' kwani hii thread ina tatizo gani? Acha kukurupuka. By the way inawezekana ukawa PS wa nepi, bt take care isijekua anaku... Ndo mana unakua na uchungu akitajwa!

kaka great thinker hatukani, bishana na nape kwa logic sio matusi na pia anaitwa nape sio nepi

respect others as u want to be respected!
 
Huyu Dogo ni Mchumia Tumbo Tu Hana Jipya!! Uwe na PhD ya Ukweli na Bado uwe Magamba? Duh!! Siamini!! Ila hiyo PhD pia Hana!!
 
Nape is contemplating the political vicious circle in which he found himself entwined! He'll live to regret at his harsh utterance he made to the triplicate twins.

His fate is unknown, maskini kijana huyu.
 
Hata hivyo kajitahidi walau kuja na kujibu baadhi. Ukiwa na moyo huo Nape utakuwa imara zaidi. We ibuka ujiteteteee tu
 
Ulikana ID yako humu sasa tuendelee kuitambua kama yako au ni mtu mwingine anaitumia ID yako? Hata heri ya mwaka mpya haujatoa mkuu!
 
Ila mkuu umepotelea wapi? Umeshamuomba radhi Lowasa kwa kumtukana kwa miezi saba mfululizo kwa kumwita fisadi huku mkitumia fedha za magamba?
 
Hili la Nape inatosha, nawaomba vijana wenzangu turudi kwenye masuala ya msingi yanayolitesa taifa hususani suala la ajira kwa vijana na huduma za kijamii hususani vijijini.
 
Hili la Nape inatosha, nawaomba vijana wenzangu turudi kwenye masuala ya msingi yanayolitesa taifa hususani suala la ajira kwa vijana na huduma za kijamii hususani vijijini.

you are right! Bt message sent, ila inampasa kuacha unafiki, mipasho na kawimbo kake ka 'kujivua gamba'.
 
Inatia huruma mnapotumia fedha nyingi kuwanunua wapinzani,mf.mkakati mlionao kanda ya ziwa abao mmeshaaanza kuitekeleza kanda ya ziwa.hili unalisemea vipi?
 
Inatia huruma mnapotumia fedha nyingi kuwanunua wapinzani,mf.mkakati mlionao kanda ya ziwa abao mmeshaaanza kuitekeleza kanda ya ziwa.hili unalisemea vipi?
First Lady wetu wa moyoni subiri wapambe waje wamjibie! Kwakuwa umeuliza wewe watakurupuka humu kama vichaa. Watakuwa wanatumiana ujumbe wote waingie JF kukushambulia!
 
Unafiki wangu ni upi? au unatukana kwasababu unatumia jina bandia? Kama kwako ufisadi ni deal, huna sababu ya kumtukana anayeona si deal bali ni dhambi hata kwa Mungu

Hongera Nnauye jr, kwa kweli sasa umekua naona machepele umeacha. Hongera sana.
 
kijana, kumbe ukiguswa unahaha kiasi hicho? lkn endelea vyema na kazi yako watanzania wamekutambua na sina shaka wakati wako ukifika utavua gamba ullilovaa, hofu yangu lisije likawa ni gamba la kitunguu
 
Inatia huruma mnapotumia fedha nyingi kuwanunua wapinzani,mf.mkakati mlionao kanda ya ziwa abao mmeshaaanza kuitekeleza kanda ya ziwa.hili unalisemea vipi?

Ooooh " first Lady"
Binafsi siamini katika kuchukua wanachama SCREPERS KUTOKA UPINZANI WAKATI WAPO WATANZANIA WENGI TU WASIOKUWA NA VYAMA MPAKA TUKAHANGAIKE NA SCREPERS!!!! why???? HATUNA MUDA MCHAFU, WANAOKUJA WENYEWE WAKIOMBA HATUWAKATAI COZ MWANAMPOTEVU AKIRUDI NYUMBANI ANAPOKELEWA
 
kijana, kumbe ukiguswa unahaha kiasi hicho? lkn endelea vyema na kazi yako watanzania wamekutambua na sina shaka wakati wako ukifika utavua gamba ullilovaa, hofu yangu lisije likawa ni gamba la kitunguu

Hahahhaaaaaaaaa!! Magamba mengine ya kobe!!
 
Kaamua kujivua gamba baada ya kushindwa kuwavua magamba mafisadi wake
 
Mkuu uvuaji wa gamba umeishia wapi au umeshaona dalili ya kuvuliwa gamba mwenyewe baada ya EL kufunguka
 
Hapa Napegwa unausemea moyo wako,for i think yanaweza kukukuta ya akina Kafulila/Hamadi maana CCJ is refusing to die!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…