Nape jifunze kuongea kwenye vipaza sauti vya bunge

Ukaridayo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
508
470
Naam kama title inavyojieleza... Lipo tatizo kwa huyu Mh. Nape waziri wa hbr sanaa na michezo, mwanzoni huyu mtu tulijua kwa namna ile jinsi anavyoongea kwenye vyombo vya habari ama public kilikuwa ni kipindi cha uchaguzi,,
tukajua labda atajirekebisha namna ya kuongea baada ya uchaguzi kuwa umekwisha..

Nape ni mtu wa siku nyingi kidogo kwenye siasa hasa ukizingatia ktk nafasi aliyokuwa nayo kabla ya kuwa Mbunge. Inashangaza hata baada ya uchaguzi bado hajui kuongea kwenye vipaza sauti mpaka leo, kama mmefuatilia huyu wakati anatolea ufafanuzi juu ya muda ya matangazo ya bunge alikuwa anaongea kama ana HASIRA saa zote ama UTADHANI YUPO KWENYE JUKWAA YA SIASA

Staha yake ya kuongea yeye kama Waziri abadilishe hiki siyo kipindi cha kampeni.
Anatakiwa aongee tu kama kama mawaziri wengine tutamuelewa kuliko hii style yake utadhani anagombana na vipaza sauti.
 
Ndio siasa za upinzani zitakavyokuwa katika kipindi cha miaka 10 ya utawala wa Magufuli. Kesho utasikia Januari Makamba punguza kuvaa suruari tight, Simbachawene habadilishi miwani, mara weupe wa Hussein Mwinyi kaongezea. Yaan hawana tena cha kusimamia.
 
Mbona anaongea kistaarabu tu au wewe unazungumzia ipi,lete na video tuone
 
3c29b0789949954109a3de334f924616.jpg

Tatizo ni hivi vyeo vya kupeana
 
Back
Top Bottom